Chikola azichambua dakika 540 ngumu Tabora FEBRUARI 28, 2025, ndiyo ilikuwa siku ya mwisho kwa Tabora United kupata ushindi katika Ligi Kuu Bara, baada ya hapo imecheza mechi sita mfululizo sawa na dakika 540 ikiambulia vichapo huku...
Fountain yaziwekea mkakati pointi 6 KIKIOSI cha Fountain Gate chini ya kocha Khalid Adam, leo Jumapili kinarejea kwenye uwanja wa mazoezi kwaajili ya kujiweka tayari kwa dakika 180 zitakazoamua hatma yao.
Dakika 90 ngumu Yanga, JKT KIKOSI cha Yanga tayari kipo jijini Tanga kwa ajili ya pambano la nusu fainali ya Kombe la Shirikisho (FA), huku kocha mkuu wa timu hiyo, Miloud Hamdi akisema wana dakika 90 ngumu dhidi ya JKT...
Minziro kukwepa mtego wa play-off KOCHA Mkuu wa Pamba Jiji, Fred Felix ‘Minziro’ ametoa siku 10 kwa wachezaji kabla ya kurejea kujiandaa dhidi ya JKT Tanzania na KMC akizitaja kama ndizo za kukwepa mtego wa kuangukia kucheza mtoano.
Fountain , KenGold ukilenga tu imooo ACHANA na taarifa za kushuka daraja kwa KenGold na Kagera Sugar kuna timu ambazo Ligi Kuu Bara msimu huu, kila lango lao likilengwa huwa imoo, kwa kuruhusu mabao mengi hadi sasa ligi ikisaliwa na...
Maxime azipigia hesabu dakika 180 KIPIGO cha mabao 5-0 ilichopata Dodoma Jiji kutoka kwa Azam FC ni kama kimemshtua kocha Mecky Maxime, aliyeliambia Mwanaspoti kwamba kwa sasa anajipanga kiufundi ili kukuhakikisha anazitumia...
Dickson Ambundo ajiweka sokoni mapema WAKATI timu ikipambana kusaka nafasi ya kucheza Ligi Kuu msimu ujao, nyota wa Fountain Gate, Dickson Ambundo amefungua milango kwa timu kunasa saini yake akijiengua kikosini.
Kipigo cha 2-1 chaiamsha KMC FC KICHAPO cha mabao 2-1 kutoka kwa Simba kimeizindua KMC, ambapo kaimu kocha wa timu hiyo, Adam Mbwana amesema wanayafanyia kazi makosa yaliyowaangusha juzi kwani bado kikosi kina ubora wa kuweza...
Singida Black Stars yaanza kuzidai pesa za Gomez MABOSI wa Singida Black Stars wameiandikia barua Wydad Casablanca ya Morocco kudai malipo ya mauzo ya mshambuliaji, Seleman Mwalimu ‘Gomez’ waliyemuuza kupitia dirisha dogo la usajili akitokea...
PRIME Dabi ya Kariakoo yapelekwa mkutano mkuu Yanga BAADHI ya wanachama wa Klabu ya Yanga wamefikia hatua ya kuiandikia barua Kamati ya Utendaji kuomba kufanyika mkutano mkuu wa dharura kabla ya Juni 15, mwaka huu.