Rasmi dilisha la usajili limefunguliwa, kazi inaanza! DIRISHA hili la usajili linarajia kupamba moto zaidi kwenye klabu za Ligi Kuu England kuanzia wiki hii baada ya awali kuonekana kwenda kwa moto hafifu kwa sababu timu zilikuwa zikisubiri Juni 30...
HIi ni mechi ya kibabe Kombe la Dunia la Klabu MIAMBA miwili ya Ulaya, Real Madrid na Juventus itakumbana yenyewe kwenye hatua ya 16 bora ya fainali za Kombe la Dunia la Klabu huko Marekani, usiku wa Jumanne, zikichuana kuwania tiketi ya...
PRIME Hawa ndo wapiga kura Mkutano Mkuu wa TFF BADO tunaendelea kuwaletea mfululizo wa makala maalumu kuhusu Uchaguzi Mkuu wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), uliopangwa kufanyika Agosti 16 jijini Tanga ukihusisha nafasi saba, ikiwamo Urais...
Prisons yagoma kushuka, yaichongea Fountain Gate MAAFANDE wa Tanzania Prisons wamegoma kushuka daraja kwa mara nyingine baada ya kuifumua Fountain Gate mabao 3-1 katika mechi ya marudiano ya play-off iliyopigwa kwenye Uwanja wa Sokoine, jijini...
Chelsea yampitia fasta Joao Pedro CHELSEA imevamia mawindo ya Newcastle United na kufanikiwa kunasa huduma ya Joao Pedro na imekubali kulipa Pauni 55 milioni kwenye dili la kumnasa mshambuliaji huyo wa Brighton.
Hugo Ekitike aingia katika anga za Arsenal ARSENAL imeingia katika vita dhidi ya Chelsea, Liverpool na Manchester United kwenye harakati za kumsajili mshambuliaji wa Eintracht Frankfurt na timu ya taifa ya Ufaransa, Hugo Ekitike mwenye...
Botafogo yamfuta kazi kocha Paiva alikuwa mmiliki mwenza wa Crystal Palace, John Textor kuthibitisha hilo kupitia mtandao wa kijamii usiku wa Jumapili. Taarifa hiyo ilisomeka: “Botafogo inatangaza kwamba Renato Paiva hataendelea...
PRIME Jicho la tatu pingamizi la Yanga kwa Karia JUMAMOSI ya Juni 28, saa 9:30 alasiri, mabingwa wapya wa soka nchini, Yanga waliwasilisha pingamizi lao dhidi ya Rais wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), Wallace Karia likiwa limesainiwa na...
PSG yamng’oa Messi kibabe Kombe la Dunia la Klabu SAFARI ya Lionel Messi katika michuano ya Kombe la Dunia la Klabu inayoendelea nchini Marekani imefikia tamati baada ya timu anayoichezea kwa sasa, Inter Miami ya Marekani jana usiku kufumuliwa...
Nico Williams aipa sharti moja Barcelona MBALI ya kukubali na kutamani sana kujiunga na Barcelona, winga wa Athletic Bilbao, Nico Williams ametoa sharti moja kwa mabosi wa timu hiyo kabla hajasaini mkataba.