Kiungo Prisons ataja sherehe kuikabili Yanga Kiungo wa Tanzania Prisons, Kelvin Sabato amesema mchezo dhidi ya Yanga unaopigwa kesho ni kama sikukuu kwao, akieleza kuwa mechi hiyo siyo ya kutumia nguvu nyingi, bali akili pekee.
Tanzania Prisons washtuka, wajipanga upya WAKATI Tanzania Prisons ikijiandaa kuikabili Yanga katika mchezo wa Ligi Kuu Bara, nahodha wa timu hiyo, Jumanne Elfadhil ametahadharisha wenzake kikosini kuwa tayari na historia yao na wapinzani...
KenGold yaikaushia mechi ya Simba LICHA ya kubaki siku kama tano tu kabla ya kuvaana na Simba katika mechi ya kukamilishia ratiba baada ya kushuka mapema daraja, benchi la ufundi la Ken Gold limesema lipo njiapanda kutokana na...
Prisons Hesabu kali mechi ya Yanga TIZI linaloendelea huko Tanzania Prisons kwa ajili ya mechi ijayo dhidi ya Yanga limempagawisha kocha mkuu wa timu hiyo, Aman Josiah akitamba kuwa kazi ni moja tu kubaki salama Ligi Kuu.
Chama la Wana latenga mzigo bara STAND United ‘Chama la Wana’ imesema baada ya kupenya katika mtoano (play off), ili kupanda Ligi Kuu Bara, kwa sasa ipo tayari kukutana na timu yoyote huku ikitangaza dau nono kwa wachezaji wa...
Mwalwisi aichorea ramani Mbeya Kwanza WAKATI Mbeya Kwanza ikiendelea kusota Ligi ya Championship kwa misimu minne sasa, kocha mkuu wa timu hiyo, Makka Mwalwisi amesema iwapo uongozi utazingatia ripoti aliyowasilisha, huenda msimu...
Mtibwa yajipanga Ligi Kuu, yaanza na mkali wa mabao MTIBWA Sugar imesema imebaini baadhi ya timu zinamnyatia staa wake, Raizin Hafidh hivyo imemuwahi mapema kwa ajili ya msimu ujao wa Ligi Kuu huku ikidokeza mwelekeo mpya wa timu hiyo.
KenGold ndoto mpya Ligi Kuu PAMOJA na kukubali kilichoikuta, KenGold imesema itafuatilia njia zilizotumiwa na Mtibwa Sugar na Mbeya City kuhakikisha inarejea tena Ligi Kuu, huku ikitoa msimamo kwa nyota waliosimamishwa kwa...
KenGold: Morrison kuvaa uzi wa Simba ni uzalendo Uongozi wa KenGold umesema kitendo cha nyota wa timu hiyo, Bernard Morrison kuonekana akiwa na jezi ya Simba ilihali ana mkataba na timu hiyo wanalichukulia kizalendo kwa kuwa Wekundu hao...
Mbeya City yaanza usajili Ligi Kuu Bara, Malale naye ndani Timu ya Mbeya City imesema wakati ikiendelea na usajili, lakini upande wa benchi la ufundi imeshamalizana na Kocha Mkuu, huku ikikiri wapo wachezaji watakaoachwa kutokana na sababu mbalimbali...