Mzee Yussuf kuweka amapiano kwenye taarabu, azitaja tuzo za Grammy Kutokana na soko la muziki Bongo kwa sasa kuzitaka nyimbo za amapiano, mwimbaji wa taarabu, Mzee Yussuf, amesema anafikiria kuweka vionjo hivyo kwenye nyimbo zake zinazokuja.
Mabondia 10 bora wa kike Tanzania KATIKA mchezo wa ngumi za kulipwa Tanzania upande wa wanawake wamekuwa wa kipata nafasi ndogo ya kutambulika katika jamii licha ya juhudi zao kubwa wanazozifanya kwenye mchezo huo.
Rehema: Ngumi hadi u-dj, konda, bodaboda KATIKA mfululizo wa Mwanaspoti kukuletea simulizi tamu za mabondia wa ngumi za kulipwa, tumefunga safari hadi Bagamoyo mkoani Pwani kukutana na bondia Rehema Abdallah wa Sharifa Boxing Gym.
Patrick: Ni ngumu kumsahau Kanumba INAKARIBIA miaka 12 tangu Steven Kanumba ‘The Great Pioneer’ kufariki dunia Aprili 7, 2012, lakini bado anaendelea kuishi kwenye nafasi za wasanii walioibuliwa naye na hata wale waliojitosa...
Dk Cheni awachongea mastaa wasiojali muda kwa mtoa maokoto “Waigizaji mastaa hawatashiriki kwenye kazi zangu kwa sababu wamekuwa wasumbufu wa kuchelewa location au kutofika kabisa.
Extra bongo kurudi kivingine, baada ya kupotea miaka tisa Choki ambaye ndio mwanzilishi wa bendi hiyo iliyoanzishwa mwaka 2003, amesema ameamua kuirudisha ili kuendelea kuwapa watu burudani.
Diamond akutanisha watoto wake, Zari aikubali Msanii maarufu nchini, Naseeb Abdul ’Diamond Platnumz,’ amewakutanisha kwa mara ya kwanza watoto wake ambao amewapata kutoka kwa mama wawili tofauti.
Johari: Nilifanya mazoezi miaka mitatu bila kuonekana kwa TV Dar es Salaam. Msanii wa filamu nchini, Blandina Chagula maarufu Johari, amesema wasanii wengi siku hizi hawana uvumilivu katika kufikia ndoto zao za kuwa wasanii wakubwa. Johari ameyasema hayo...
Davido na mkewe wapata mapacha Staa wa mziki, David Adeleke maarufu kam Davido na mpenzi wake Chioma, wamejaliwa kupata watoto pacha ikiwa ni miezi kadhaa imepita tangu wafiwe na mtoto wao wa kwanza. Davido alionekana mwenye...
C.I.N.T kuwanoa wasanii ukusanyaji ‘maokoto’ kwa wanaotumia kazi zao Mtandao wa Tasnia Bunifu Tanzania(C.I.N.T), umeanza kuwajengea uwezo wasanii namna ya kuunda kampuni zao za kukusanya mirabaha kwa niaba ya wanachama wao zinazoitwa Collective Management...