Mizinga: Kuna ngumi nilipigwa inanisumbua hadi sasa SALMINI Kassim ‘Mizinga’ dhahabu mpya ambayo imekosa kuimbwa katika mchezo wa ngumi za kulipwa nchini licha ya kuendelea kuweka rekodi mpya kwenye masumbwi.
Yanga yaendelea kugawa dozi nzito WATETEZI wa Ligi Kuu Bara, Yanga imeendeleza ubabe ikisaka taji la msimu wa nne mfululizo kwa kuifumua Dodoma Jiji kwa mabao 5-0, ikiwa ni mechi ya 10 kushinda katika ligi hiyo ikisaliwa na mechi...
Richard Mtangi: Mbabe ko aliyeanza kusaka taji la dunia RICHARD Mtangi ni mmoja kati ya mabondia wenye uwezo mkubwa wa kushinda mapambano yao kwa ushindi wa uhakika wa knockout katika ngumi za kulipwa.
Mastraika Zenji wanavyokumbana na upepo mbaya Bara KUMEKUWA na wimbi kubwa la washambuliaji waliofanya vizuri Ligi Kuu ya Zanzibar na kubeba tuzo ya ufungaji bora, ingawa baadhi yao wanapojiunga na timu za Ligi Kuu Bara hali inakuwa tofauti na...
Ngumi zilivyotusua mbele ya soka WIKIENDI iliyopita wadau wa michezo nchini walishuhudia msimu wa tatu wa tuzo za Baraza la Michezo la Taifa (BMT), kwa mwaka 2024 ambapo wanamichezo mbalimbali walifanikiwa kushinda.
Bonabucha: Nilipigwa ngumi nikacheua nyama MIAKA ya 2000 mwanzoni, vijana wa mitaa ya Temeke, Dar es Salaam walisumbua katika makundi ya kudansi kwenye matamasha waliyokuwa wakiyaandaa kupitia makundi. Ukweli pesa ilitembea siyo kitoto na...
Lwassa jeshi la mtu mmoja Kagera KATIKA msimamo wa Ligi Kuu Bara, Kagera Sugar na KenGold zimeshuka daraja tayari huku timu hizo zikiwa ndiyo zenye idadi ndogo zaidi ya mabao ya kufunga ambayo ni 22 hadi sasa zikiwa zimecheza...
MAONO: Kuna ngumi nilipigwa, nikaona ‘mvua’ ulingoni LICHA ya kuonekana mmoja kati ya vijana wapole kutoka katika mitaa ya Bagamoyo mjini, eneo maarufu zaidi kama mji wa kale wa kihostori huku vijana wake wengi wakijihusisha na shughuli za uvuvi na...
PRIME Vita ya usajili 2025/26 inaanzia hapa LIGI Kuu Bara ipo ukingoni kwa sasa ikiwa imesaliwa na mechi za raundi tatu kabla ya msimu kufikia tamati Juni 22, huku mbio za ubingwa zikisalia kwa vigogo Simba na Yanga tu, ilihali Azam FC na...
KINAPIGWA: Hatimaye Kiduku, Pialali warudi mjini MEI 24, mwaka huu kwenye Viwanja vya Posta Kijinyama, jumla ya mabondia 30 watapanda ulingoni katika pambano la kimataifa la Knockout ya Mama phase 4, wakiwemo mabondia wenye majina makubwa...