Dabi na madhara ya kiafya kwa mashabiki SOKA ni mchezo maarufu duniani wenye mamilioni ya mashabiki waliobeba hisia kali katika kushabikia timu zao hasa katika zile mechi kali maarufu kama derby zinazokutanisha wapinzani wa jadi.
Tahadhari ukimbiaji pembezoni mwa barabara UFANYAJI mazoezi mepesi ya kukimbia katika barabara za huduma au pembezoni ni maeneo ambayo watu hupenda kuyatumia kufanya mazoezi ya ukimbiaji mwepesi.
Ronaldo anafanya hivi mapumzikoni akijiuguza USIKU wa Jumapili, Cristiano Ronaldo ‘CR7’ aliiongoza Ureno kunyanyua taji la Ligi ya Mataifa Ulaya 2025 baada ya kuifunga Hispania kwa mikwaju ya penalti 5-4 jijini Munich, Ujerumani.
Motisha kwa wachezaji husaidia saikolojia ya mafanikio ya klabu USIKU wa Jumamosi iliyopita, PSG ya Ufaransa ilitwaa ubingwa wa Ligi ya Mabingwa Ulaya baada kuifunga Inter Milan ya Italia kipigo cha aibu cha mabao 5-1 jijini Munich, Ujerumani.
PRIME Mapigo matano yaliyoipasua hisia Simba JIONI ya Jumapili kwenye Uwanja wa Amaan Complex, Zanzibar ilikuwa ni huzuni kwa Watanzania baada ya Simba kushindwa kunyakua ubingwa wa michuano ya Kombe la Shirikisho Afrika.
Simba wacheze na akili za Berkane MCHEZO wa marudiano wa fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika umepangwa kuchezwa Jumapili, Mei 25, 2025, katika Uwanja wa New Amaan Complex, Zanzibar kuanzia saa 10 jioni.
Kila kona ni Yamal tu! kuwa kama yeye fanya hivi KINDA wa klabu ya Barcelona, Lamine Yamal, mwenye umri wa miaka 17 akiwa ameishacheza zaidi ya mechi 100 na kupata mafanikio makubwa, amekuwa gumzo kila kona duniani kutokana na umahiri wa...
SPOTI DOKTA: Majeraha ya maungio yako hivi USIKU wa Jumanne katika nusu fainal ya pili Ligi ya Mabingwa Ulaya Ulaya ilishuhudiwa mechi kali kati ya Inter Milan na Barcelona iliyochezwa kwenye Uwanja wa San Siro, Italia.
PRIME BALAA! Tishio jipya afya za mastaa Ligi Kuu bara LIGI Kuu Bara ipo ukingoni kabla ya kufikia tamati, huku zikiwa zimeshapigwa mechi 210 ikiwamo iliyochezwa jana jioni kwenye Uwanja wa KMC Complex, Dar es Salaam kati ya wenyeji Simba na Mashujaa...
SPOTI DOKTA: Ugumu wa mechi Simba SC ilistahili kufanya haya JUMAPILI iliyopita Simba iliandika historia baada ya kutinga fainali ya michuano ya Kombe la Shirikisho Afrika kwa kuing’oa Stellenbosch ya Afrika Kusini kwa ushindi wa jumla wa bao 1-0...