Man United inapiga ndefu kwenda mbele KWENYE soka la mtindo wa kisasa, timu zote bora zinacheza kwa kupanga mashambulizi yake kuanzia nyuma.
GLT hii ndio dawa ya mabao ya utata BAO lile. Hapana, sio bao. Ni ubishani unaojitokeza mara kwa mara kwenye mchezo wa soka, inapotokea mpira uliopigwa haukuonekana sawasawa kama umevuka mstari wa goli au la.
PRIME Faili la Yanga CAS kutibua kikao cha dabi Dar? MACHI 8, 2025, ilitarajiwa kuchezwa mechi ya Ligi Kuu Bara namba 184 kati ya Yanga dhidi ya Simba, lakini Bodi ya Ligi iliahirisha saa tano kabla ya kuanza kwa mchezo huo uliopangwa kuanza saa 1...
Refa wa EPL analipwa Sh800m kwa mwaka MSHAHARA wa waamuzi wa Ligi Kuu England umewekwa hadharani na kuonyesha kwamba ni moja ya watu wanaolipwa vizuri kwenye nchi ya England.
Mdomo wa Raphinha umeiponza Brazil MASTAA wa Argentina wamesema kauli ya staa wa Kibrazili Raphinha ndiyo iliyowapa hasira na kuhakikisha wanaishushia kipigo kizito Brazil kwenye mechi za kufuzu Kombe la Dunia 2026 kwa upande wa...
Aguero amtuma mabao Haaland SUPASTAA, Sergio Aguero anamtaka mtambo wa mabao Erling Haaland kurudi kwenye ubora wake huko Manchester City - afunge mabao ya kutosha kuvunja rekodi yake.
Madrid, Trent ishu yao iko hivi REAL Madrid inataka kufanya fasta kwenye usajili wa beki wa kulia wa Liverpool, Trent Alexander-Arnold ili inase huduma yake kabla ya kuanza kwa michuano ya Kombe la Dunia la klabu.
Simba kuifuata Al Masry Machi 28, Ahmed afafanua ishu ya Kwa Mkapa Ofisa habari wa Simba, Ahmed Ally amesema tayari timu hiyo imejiandaa na safari ya kwenda Misri kwaajili ya mchezo wa robo fainali Kombe la Shirikisho Afrika dhidi ya Al Masry unaotarajiwa...
Mpo? Gyokeres bei yake imeshuka huko STRAIKA Victor Gyokeres amefikia makubaliano na klabu yake ya Sporting CP juu ya kuachana na timu hiyo dirisha lijalo la uhamisho wa majira ya kiangazi huku bei yake ikishuka chini ya Pauni 60...
Amorim anamtaka fundi Trincao aje KOCHA wa Manchester United, Ruben Amorim amepanga kufanya usajili wa winga wa Sporting Lisbon, Trincao kwenye dirisha lijalo la majira ya kiangazi huku Mreno huyo akidaiwa kuuzwa Pauni 35 milioni.