Yanga Noma ANGALIA rekodi hizi za Yanga msimu huu halafu utagundua kwanini jamaa wameingia Tanga na mikwara mizito. Yanga ndiyo timu pekee kwenye Ligi Kuu Bara iliyoshinda mechi 10 ambazo hazijafikiwa na...
KIPRETCHE TCHE: Umemzoea uwanjani, hebu mchungulie nyumbani HAPA Tanzania hakuna asiyefahamu makali ya Muivory Coast, Kipre Tchetche anapokuwa uwanjani
Intaneshino USHINDI wa mabao 5-1 iliopata Yanga dhidi ya Platinum ya Zimbabwe kwenye mechi ya Kombe la Shirikisho umegeuka nongwa kwa Simba.
Matajiri wa Zimbabwe wabugi Yanga Platinum FC ya Zimbabwe ni klabu inayomilikiwa na matajiri wa madini kwenye Jimbo la Midlands lililopo Wilaya ya Zvishavane. Timu hiyo itacheza na Yanga kesho Jumapili kwenye mechi ya raundi ya...
Mourinho akili PSG walis UKIONA Jose Mourinho amekuwa mpole basi ujue amenyanyua mikono juu kwa alichokiona. Kile ulichokiona wewe basi na yeye amekiona hicho hicho, amekiri PSG walistahili kushinda na kupita.
CAF yaibeba Yanga, yatoa angalizo kwa Twite na Oscar KOCHA wa Yanga, Hans Pluijm amewataka wachezaji wake kusahau yaliyowatokea katika mchezo wao uliopita dhidi ya Simba na kuelekeza nguvu zao dhidi ya Platinum ya Zimbabwe, lakini CAF imeionyesha...
Siyo saizi yenu STRAIKA wa Simba, Emmanuel Okwi jana Jumapili alifunga bao pekee lililothibitisha ndani ya uwanja kwamba yeye ni bora kuliko mpinzani wake, Kpah Sherman wa Yanga ambaye wanapokea mshahara...
Jose Mourinho anajua kuzicheza mechi za fainali PETER Crouch ana sifa moja kubwa usimsogeze kwenye goli lako kisha timu yake ikawa inapiga mipira mirefu kwenda eneo hilo, atakuumiza tu. Ni hodari kweli kweli kwenye kuichezea mipira ya juu.
Juma Abdul, Mbrazili Coutinho jukwaani YANGA itamkosa beki wake wa kulia, Juma Abdul mwenye kadi tatu za njano katika mechi ya kesho Jumapili dhidi ya Simba huku Katibu wao, Dk. Jonas Tiboroha akisema hawataingia kwenye mtego kwa...
Haya ndio makosa makubwa mawili ya Simba msimu huu TUMEKUWA tunashuhudia matokeo ya kushangaza katika Ligi Kuu za Ulaya. Ni matokeo ambayo hayana shaka hata kidogo na yanafanya ligi za huko kuvutia kila wiki.