Hello

Your subscription is almost coming to an end. Don’t miss out on the great content on Nation.Africa

Ready to continue your informative journey with us?

Hello

Your premium access has ended, but the best of Nation.Africa is still within reach. Renew now to unlock exclusive stories and in-depth features.

Reclaim your full access. Click below to renew.

Search

971 results for Oscar Oscar :

  1. MTASUBIRI SANA: Yanga yatwaa ubingwa Tanzania bara

    SIMBA na Azam bado zinaviziana katika kuwania nafasi ya pili, lakini Yanga ndio Mabingwa Wapya wa Tanzania baada ya jana kutangazwa rasmi kwenye Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam.

  2. Mbona Etoile wanafungika kiulaini tu

    WADAU wengi wa soka walioshuhudia mchezo wa kwanza wa raundi ya pili ya Kombe la Shirikisho Afrika kati ya Yanga na Etoile du Sahel ya Tunisia Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam, wamekata tamaa...

  3. KAH! YANGA SASA BASI : yazichonganisha Simba na Azam

    YANGA ni kama imeshafunga hesabu za msimu wa ligi Kuu Bara 2014-2015 baada ya jana Ijumaa jioni kuendeleza wimbi lake la ushindi katika Ligi Kuu Tanzania Bara kwa kuichapa Ruvu Shooting mabao 5-0.

  4. Bado mechi mbili tu

    BADO mechi mbili tu. Mbili tu siyo zaidi. Ndicho anachoamini Kocha wa Chelsea, Jose Mourinho baada ya juzi usiku kuichapa Manchester United 1-0 katika dimba la Stamford Bridge.

  5. Sh25 milioni kumrudisha Luhende Jangwani

    BEKI wa Mtibwa Sugar, David Luhende, huenda akarudi Yanga ambako wamemtengea Sh25 milioni kwa ajili ya usajili wa msimu ujao wa Ligi Kuu Bara.

  6. Mkwara wake lazima Msuva na Ngassa watulie

    ANAUJUA ukali wa Simon Msuva. Kinara wa mabao katika Ligi Kuu ya msimu huu. Anaujua muziki wa Mrisho Ngassa, nyota wa kimataifa ambaye kwa karibu muongo mmoja anatetemesha Tanzania.

  7. Yanga haikamatiki

    AFRIKA Mashariki jana kulikuwa na mechi mbili kubwa kwenye Ligi za ndani, Kenya kulikuwa na mpambano wa Mashemeji baina ya Gor Mahia na AFC Leopards ambao uliisha kwa sare ya bao 1-1. Lakini...

  8. Hii ya Yanga haijawahi tokea

    SIKIA hii, Jana Jumatano ilikuwa Aprili 8 na Yanga ilichofanya ni kumpiga mtu mabao nane Uwanja wa Taifa. Kipigo hicho ilichotoa Yanga kwa Coastal Union inayofundishwa na kocha mwenye maneno...

  9. Simba yagundua uchawi wa Msuva

    >WAKATI Simba wakiweweseka na kasi ya mabao aliyonayo Simon Msuva wa Yanga, kinara huyo wa mabao wa Ligi Kuu ni kama amewafichulia siri yake.

  10. TUNATELEZA TU!

    WAKATI Simba wakiwakejeli kutokana na uwanja wao wa Kaunda kujaa maji na matope, Yanga wamejibu mapigo kiaina kwa kuwaambia ‘nyie chongeni sisi tunateleza tu’ kwenye Ligi Kuu.

Previous

Page 79 of 98

Next