KITANUKA TAIFA AZAM na Yanga zinapokutana huwa na ushindani na upinzani mkali kiasi wachezaji wao kufikia kukunjana mashati.
Vita 7 ndani ya Yanga YANGA inatafuta kikosi chake cha kwanza kwa sasa wakati huu inapokaribia michuano ya Kombe la Kagame, hatua hiyo inakuja kufuatia usajili ambao timu hiyo imeufanya katika dirisha hili la usajili.
Hili ni jembe KITENDAWILI cha mgombea gani wa CCM atakayepitishwa kuwania Urais katika Uchaguzi Mkuu wa mwaka huu hatimaye kimetenguliwa baada ya Waziri wa Ujenzi, Dk. John Magufuli kuteuliwa.
Yanga mbili zote visu >UKIIACHA Azam FC kwa klabu zilizofanya usajili mpaka sasa, Yanga ndiyo nyingine inayoweza kutengeneza vikosi viwili imara uwanjani na benchi kukabakiwa na chenji.
Yanga yazidi kunoga KIKOSI cha Yanga kinachoendelea kujifua kujiandaa na michuano ya Kombe la Kagame na msimu mpya wa Ligi Kuu Bara, kimeanza kunoga baada ya idadi ya wachezaji wake kuzidi kuongezeka, huku winga wao...
Mtapaki basi tu MARA ya kwanza Simba ilipomsajili, Emmanuel Okwi, aliitikisa sana ngome ya Yanga na kusababisha kila mechi ya watani wa jadi ilipokaribia mabeki wa Jangwani walikosa raha.
Simba, Yanga wazungumzia wagombea urais WACHEZAJI mbalimbali wa soka wametoa maoni na mtazamo wao kuhusiana na wanachama wa vyama mbalimbali waliojitokeza na kutangaza nia kuwania urais wa Tanzania katika uchaguzi mkuu wa nchi...
Stars yapaa Ethiopia kutesti uzi mpya KIKOSI cha wachezaji 23 kilitarajiwa kupaa jioni ya jana Alhamisi kuelekea Addis Ababa, Ethiopia kuweka kambi ya kujiandaa na pambano la kuwani kufuzu Fainali za Afrika (Afcon-2017) dhidi ya...
Matumaini Simba yatoweka, Azam, yanga 2-1 MASHABIKI wa Simba walikuwa wakiipigia goti Yanga na kuiambia; Shemeji tusaidie, lakini Yanga wamewapuuza na kuwanyima nafasi ya kushiriki michuano ya kimataifa mwakani baada ya jana Jumatano...
Yanga wanajiamini sana Aisee! YANGA wanajiamini sana! Hawana hofu yoyote juu ya pambano lao la kesho Jumamosi la marudiano ya Kombe la Shirikisho Afrika dhidi ya Etoile du Sahel huko Tunisia.