Hello

Your subscription is almost coming to an end. Don’t miss out on the great content on Nation.Africa

Ready to continue your informative journey with us?

Hello

Your premium access has ended, but the best of Nation.Africa is still within reach. Renew now to unlock exclusive stories and in-depth features.

Reclaim your full access. Click below to renew.

Search

971 results for Oscar Oscar :

  1. Wanakaba hadi aibu

    YANGA inaendelea na mazoezi yake hapa kisiwani Pemba, tayari kwa kuwavaa watani wao Simba kesho Jumamosi, lakini katika mazoezi yao ya juzi jioni na jana Alhamisi makocha Hans Pluijm na Boniface...

  2. Anayefuata anakula tano, ili Simba watie akili

    UONGOZI wa Yanga umeridhishwa na kiwango cha timu yao lakini bosi mmoja ambaye kitaaluma ni kocha wa soka katoa kauli moja itakayowatisha wapinzani wowote watakaokutana na kikosi chao katika...

  3. UOZO : Mdudu anavyolitafuna soka la Tanga

    HALI ya soka la Tanga ni tete, tena siyo kitoto. Licha ya uwepo wa timu tatu zinazoshiriki Ligi Kuu kutoka jijini hapa, bado hali ya soka si nzuri kwani timu hizo zimekosa ushindani na hamasa ya...

  4. Yanga yawaficha Mzimbabwe, Mtogo

    MASHABIKI wa Simba waliopo Zanzibar hawawezi kuiona tena Yanga hivi karibuni labda kwenye mapumziko ya mwisho wa mwaka.

  5. Usajili umewatoa nishai kweli

    KUNA baadhi ya mastaa wa timu za Ligi Kuu sasa matumbo yao yanawaka moto. Hawaamini kabisa kinachotokea katika maisha yao ya soka.

  6. Yanga, Azam zazidisha uzungu vikosini mwao

    KINACHOFANYIKA Yanga na Azam ni uzungu na weledi wa aina yake. Matokeo ya furushi lililomwagwa kwenye usajili wao yameanza kuonyesha jinsi ufundi wa kizungu unavyoweza kufanya kazi. Sasa maisha...

  7. Yanga yazidisha uzungu

    KINACHOFANYIKA Yanga na Azam ni uzungu na weledi wa aina yake. Matokeo ya furushi lililomwagwa kwenye usajili wao yameanza kuonyesha jinsi ufundi wa kizungu unavyoweza kufanya kazi. Sasa maisha...

  8. Waafrika walivyoangusha dhoruba raundi ya kwanza England

    JEURI ya Wazungu dhidi ya wachezaji wa Afrika inazidi kupungua. Robo ya mabao yaliyofungwa katika raundi ya kwanza ya Ligi Kuu England iliyoanza wikiendi iliyopita yalifungwa na wachezaji kutoka...

  9. Kama Msuva,Twite benchi, mnatokaje?

    SIKIA hii kwanza. Golini msimamishe Dida, kulia mweke Twite, kushoto Oscar Joshua, katikati waweke Rajab Zahir na Cannavaro, mido pale wasimamishe Said Makapu na Salum Telela. Pembeni sasa...

  10. STRAIKA WA MWANASPOTI : Uhondo wa EPL umeanza tutarajie nini?

    HATIMAYE Ligi Kuu ya England (EPL) imeng’oa nanga na kuwapa fursa mashabiki kote duniani kurejea kwenye runinga zao ili kuifuatilia. Ligi hii inawafuasi wengi duniani kote, na hata ilipoanza...

Previous

Page 77 of 98

Next