Jamani mimi sio Maniche KUFANANA jina na kiungo mshambuliaji wa Simba, Awadh Juma ‘Maniche’ kumekuwa kukiwachanganya mashabiki wa soka wakidhani Maniche amepelekwa kwa mkopo African Lyon. Ila ukweli Awadh Juma wa Lyon...
Mbuyu Twite akili mingi Yanga KIRAKA Mbuyu Twite amefanikiwa kuwazidi ujanja wachezaji wote wa Yanga kutokana na kumudu kucheza nafasi tano tofauti ndani ya uwanja jambo ambalo hakuna mchezaji mwingine wa timu hiyo anayeweza...
Penalti zaleta mshtuko Jangwani BENCHI la ufundi la Yanga chini ya Kocha Hans Pluijm limepigwa na butwaa. Wanachama na mashabiki wa klabu hiyo wamebaki mdomo wazi kwa bumbuwazi lililowapata, huku viongozi wakishindwa kuamini...
Kwa beki hii, Mavugo anapitaje? SIMBA wanapiga kelele mitaani baada ya kuona namna straika wao mpya, Laudit Mavugo alivyowapindua kama samaki wachezaji wa AFC Leopards ya Kenya siku chache zilizopita, lakini imebainika kuwa...
Siku 10 za hatari zaibua hofu Yanga MABINGWA wa soka nchini, Yanga kesho Jumamosi watashuka Uwanja wa Taifa kuvaana na Mo Bejaia ya Algeria katika mechi ya Kombe la Shirikisho Afrika, lakini hofu imetanda katika klabuni hiyo...
Mkwasa awaacha Samatta, Ulimwengu Stars Kocha Mkuu wa Taifa Stars’, Charles Boniface Mkwasa ameita wachezaji 24 watakaingia kambini kwa ajili ya mechi Nigeria, Septemba 2, 2016.
Walahi Yanga msirudi! KAMA Yanga inataka heshima Afrika kuendelea kusalia kwenye michuano ya Kombe la Shirikisho isirudi kwenye ardhi ya Dar es Salaam bila ushindi dhidi ya Medeama leo Jumanne.
BREKI: Mourinho sasa kumbakisha Juan Mata, Fellaini Man Utd KAMA ulidhani wataondoka basi umechemka. Jamaa wapo wapo sana Manchester United. Ndiyo, Juan Mata, Marouane Fellaini na Daley Blind watakipiga katika jezi ya Manchester United chini ya utawala wa...
Wachezaji wote Yanga marufuku uswahilini KOCHA Mkuu wa Yanga, Hans Pluijm amemtumia staa wa Tanzania, Mbwana Samatta kuwajaza upepo wachezaji wake kufanya mambo katika mechi nne za kimataifa zilizobaki msimu huu, lakini badae akafura...
Mzambia kuanza na TP Mazembe, Tambwe nje KOCHA wa Yanga, Hans Pluijm ameagiza straika mpya, Obrey Chirwa pamoja na Juma Abdul waende haraka Uturuki kujiunga na kambi tayari kwa mechi ya TP Mazembe itakayopigwa Jumanne ijayo Dar es Salaam.