Kocha Kerr apata kombinesheni KOCHA wa Simba, Dylan Kerr, amesema amepata kombinesheni mpya ya mabeki wa kati ambayo inaundwa na Mzimbabwe, Justice Majabvi na chipukizi Said Issa.
Siku 50 za usajili zilizotikisa vigogo DIRISHA la Usajili barani Ulaya linahitimishwa usiku wa saa sita leo Jumanne.Kwa upande wa Tanzania Bara kulikuwa na siku 50 zilizotetemesha vigogo vya soka nchini katika zoezi kama hilo...
Simba yafanya usajili wa kushtukiza RAIS wa Simba, Evans Aveva, amewashusha presha mashabiki wa timu hiyo. Amewataka kuacha mchecheto kwani amewahakikishia kwamba wao kama mabosi wa klabu wanajua kila kitu kinachohitajika na...
Kelele za Yanga sasa zawaamsha Simba KELELE za mashabiki wa Yanga juu ya nani acheze na nani akae benchi katika kikosi chao, zinaonekana kuwaamsha wachezaji wa Simba ambapo sasa vita kali imeibuka katika nafasi tano tofauti uwanjani...
Waliomwaga wino Yanga, Simba wasibweteke KASI ya usajili wa wachezaji kwa ajili ya Ligi Kuu Bara msimu wa 2015/16 imeendelea kupamba moto huku klabu za Simba, Yanga na Azam zikichuana vikali.
Straika matata atua Simba WAKATI wakiendelea kufanya mchakato wa kumleta kocha wa makipa wa AFC Leopards, Abdul Idd Salim, aliyewahi kumnoa Ivo Mapunda akiwa Gor Mahia, Simba imemwita rasmi nchini straika wa Burundi...
Nini? Waleteni Yanga hata kesho >MOHAMMED Faki, beki mpya wa Simba ametua Msimbazi na kutamka kauli moja kuwa “Yanga safari hii haina chake.”
Beki awahenyesha Msimbazi Dar SIMBA jana Jumatano jioni ilikuwa kwenye mazungumzo mazito na majembe mengine mawili ya Kibongo ambayo wanataka kuyasajili.
Siasa, wafadhili vimeua soka Zanzibar-3 KATIKA toleo lililopita tuliona jinsi malipo madogo ya usajili kwa wachezaji na kiingilio kidogo kuwa ni kati ya mambo yanayokwamisha soka la Zanzibar. Sasa endelea…
Hawa wana balaa katika kupiga faulo, si utani KUPIGA faulo ni zoezi gumu na vilevile ni kipaji. Katika Ligi Kuu Bara kuna wachezaji wachache wa aina hiyo ambao wanapopiga mipira ya michache ya namna hiyo wakikukosa ujue una bahati.