Bruno Fernandes akataa kichaka cha Europa NAHODHA wa Manchester United, Bruno Fernandes anaamini kushinda Europa League hakutobadilisha ukweli, msimu huu kwao ulikuwa ni mbaya.
Mbeumo aende, abaki freshi tu KOCHA wa Brentford, Thomas Frank ameshindwa kufuta uwezekano wa staa wake Bryan Mbeumo kuhama kwenye dirisha lijalo la uhamisho wa majira ya kiangazi jambo linalowapa mzuka mkubwa Liverpool.
Luka Modric anatajwatajwa Swansea City KIUNGO Luka Modric na klabu ya Real Madrid wametangaza kwamba staa huyo ataachana na maisha ya Bernabeu baada ya kukamilika kwa michuano ya Kombe la Dunia la Klabu.
Lookman agomea mazoezi Atalanta WINGA, Ademola Lookman ameripotiwa kugomea mazoezi huko Atalanta ikiwa ni harakati zake za kulazimisha uhamisho wa kuachana na timu hiyo.
Mourinho kubaki Uturuki, azikataa Celtic, Rangers KOCHA wa Fenerbanhce, Jose Mourinho amekataa kuondoa uwezekano wa kwenda Rangers inayoshiriki Ligi Kuu ya Scottland.
Madonna atuma ombi kwa Papa Leo XIV Mkali wa Pop kutoka Marekani, Madonna amemuomba Papa Leo XIV, akimsihi kwenda Gaza ili kuwasaidia watoto wanaoteseka kutokana na mgogoro unaoendelea.
CHAN 2024: CAF yazuia wapigaji Uganda WAKATI timu ya taifa ya Uganda Cranes ikijiandaa kwa mechi ya nusu fainali ya CHAN 2024 dhidi ya Senegal, Shirikisho la Soka Afrika (CAF) limechukua hatua ya kupunguza idadi ya tiketi ambazo...
Hamdani Said kuandika historia Kombe la Dunia Mwamuzi msaidizi wa kimataifa wa Tanzania, Hamdani Said ameteuliwa ni miongoni mwa marefa 12 wa Afrika walioteuliwa kuchezesha Fainali za Kombe la Dunia za Vijana chini ya umri wa miaka 17 mwezi...
Mama wa Miss Universe 2025 atoa somo kwa wazazi LULU Makoi, Mama mzazi wa mshindi wa Taji la Miss Universe Tanzania 2025, Naisae Yona, ametoa wito kwa wazazi kusapoti talanta za watoto wao badala ya kuzikandamiza.
Pep Guardiola kukaa pembeni Etihad KOCHA Pep Guardiola amekiri atang’atuka kwenye kazi yake ya ukocha wakati mkataba wake Manchester City utakapofika tamati.