Kayuni, Madadi wafichua siri za Mbelgiji wa Simba Simba imefundishwa na makocha 10 katika kipindi cha miaka saba
Kim Poulsen kawakosea nini Wabongo? MIONGONI mwa zawadi muhimu na za kipekee ambazo Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) chini ya Leodgar Tenga uliwapa Watanzania ni kocha Kim Poulsen.
Kocha Oscar Tabarez aweka historia Kombe la Dunia Russia Kocha wa Uruguay, Oscar Tabarez ameandika historia kwenye fainali za Kombe la Dunia Urusi kuwa kocha mzee kuongoza timu ya Taifa kwenye mashindano hayo.
#WC2018: Usishangae wasipocheza RAUNDI ya 16 bora kwenye fainali za Kombe la Dunia 2018 imeshapita na kusahaulika kabisa.
#WC2018: Ramirez aachia ngazi huko Costa Rica Siku chache baada ya kutupwa nje ya michuano ya Kombe la Dunia inayoendelea nchini Russia, katika hatua ya Makundi na Brazil, Kocha wa Costa Rica, Oscar Ramirez ametangaza kubwaga manyanga.
#WC2018: Suarez aumia mazoezini, Cavani ajiuguza Ni kama bundi mweusi ametua katika kambi ya Uruguay. Baada ya kuifungisha virago Ureno, Uruguay ilijikuta ikimpoteza Straika wake Edison Cavani, aliyepata jeraha baada ya kutupia wavuni mara...
Edinson Cavani kuikosa robo fainali Mshambuliaji nguli wa Uruguay, Edinson Cavani, ameiweka njiapanda Uruguay katika mchezo wa robo fainali dhidi ya Ufaransa.
#WC2018: Tegemea haya Ufaransa Vs Argentina, Uruguay Vs Ureno Kombe la Dunia ndio kwanza inaanza. Baada ya kutenganisha pumba na mchele, hatimaye ulimwengu unajiandaa kushuhudia mtifuano wa kukata na shoka, raundi ya 16 bora inapoanza rasmi leo.
Uruguay vs Ureno: Vita ya Ronaldo dhidi ya Suarez, Cavani Ureno inasaka ubingwa wa dunia kwa mara ya kwanza wakati Uruguay ni bingwa mara mara moja wa mashindano hayo