Senegal yamtimua kocha Pape Thiaw SHIRIKISHO la Soka la Senegal (FSF) limemfuta kazi kocha mkuu Pape Thiaw kufuatia kushindwa kwa timu hiyo kuvuka hatua ya 32 Bora kwenye Kombe la Dunia 2026.
Sh670 Bilioni kumfungia Wembanyama Spurs KLABU ya San Antonio Spurs imeonyesha wazi imejipanga kujenga timu yake kwa muda mrefu baada ya kumfunga nyota wake Victor Wembanyama mkataba mpya wa miaka mitano wenye thamani ya dola milioni...
Mbappe vs Yamal, vita ya tiketi ya fainali Kombe la Dunia NYOTA chipukizi wa Hispania, Lamine Yamal baada ya kuingoza Hispania kutinga nusu fainali, amesema kikosi chao hakiingiwi na hofu kuelekea mchezo mkubwa dhidi ya Ufaransa, akisisitiza kuwa...
Aliyemsajili salah ajiuzulu Liverpool KLABU ya Liverpool imekumbwa na pigo baada ya mmoja wa watu waliohusika kwa kiasi kikubwa kujenga mafanikio ya usajili wa nyota ndani ya muongo mmoja uliopita, Michael Edwards, kuamua kuachia...
Ronaldo afunguka maisha magumu baada ya kustaafu soka GWIJI wa soka wa Brazil, Ronaldo Nazario de Lima, amefunguka kuhusu kipindi kigumu alichopitia baada ya kustaafu soka mwaka 2011, akisema aliingia kwenye msongo mkubwa wa mawazo uliomfanya hata...
Real Madrid yawaza kumuuza Vinicius JR HATMA ya mshambuliaji wa Brazil, Vinicius Jr, ndani ya Real Madrid imeanza kutia shaka baada ya taarifa kueleza kuwa mabingwa hao wa Hispania wanafikiria kumuuza nyota huyo kutokana na kuchelewa...
Kiungo Mamelodi Sundowns, Jayden Adams afariki dunia Vyombo vya habari Afrika Kusini vimeripoti taarifa za kifo cha kiungo wa Bafana Bafana na Mamelodi Sundowns, Jayden Adams, aliyefariki dunia akiwa na umri wa miaka 25.
Kukosa penalti janga Kombe la Dunia HAIJALISHI kama Ufaransa wataishia kutwaa au kutotwaa taji lao la tatu la Kombe la Dunia, wengi hawatakumbuka penalti aliyokosa Kylian Mbappe katika ushindi wa robo fainali dhidi ya Morocco.
Haaland: Presha ipo kwa England NAHODHA na mshambuliaji ya Norway, Erling Haaland, amesema presha yote ipo kwa England kuelekea mchezo wa robo fainali ya Kombe la Dunia utakaochezwa Jumamosi, huku akiwasihi waandishi wa habari...
Guehi, Rice hatarini kukosa robo fainali ENGLAND imepata pigo jipya kuelekea robo fainali ya Kombe la Dunia dhidi ya Norway baada ya beki wa kati Marc Guehi kusubiriwa kufanyiwa tathmini ya mwisho saa chache Ijumaa ili kubaini kama...