Hello

Your subscription is almost coming to an end. Don’t miss out on the great content on Nation.Africa

Ready to continue your informative journey with us?

Hello

Your premium access has ended, but the best of Nation.Africa is still within reach. Renew now to unlock exclusive stories and in-depth features.

Reclaim your full access. Click below to renew.

Search

477 results for Ibrahim Mussa :

  1. Vituko kambi ya Simba

    KAMBI ya Simba mjini hapa inakwenda vizuri, wachezaji wanaonekana kuimarika vilivyo. Kocha mkuu wa timu hiyo, Dylan Kerr anaonekana kuwa mwingi wa furaha kutokana na matokeo chanya ya kambi hii.

  2. Mtapaki basi tu

    MARA ya kwanza Simba ilipomsajili, Emmanuel Okwi, aliitikisa sana ngome ya Yanga na kusababisha kila mechi ya watani wa jadi ilipokaribia mabeki wa Jangwani walikosa raha.

  3. Straika matata atua Simba

    WAKATI wakiendelea kufanya mchakato wa kumleta kocha wa makipa wa AFC Leopards, Abdul Idd Salim, aliyewahi kumnoa Ivo Mapunda akiwa Gor Mahia, Simba imemwita rasmi nchini straika wa Burundi...

  4. Cannavaro amtema Tambwe, amuita Ajibu

    YANGA ni bingwa wa Ligi Kuu Bara msimu huu na Azam ni washindi wa pili, hilo hakuna ubishi.

  5. Simba yafanya kweli, Ukawa watoa msimamo

    SIMBA imezidi kuongeza presha kwa Azam baada ya jana kupata ushindi wa mabao 2-1 dhidi ya Kagera Sugar katika pambano la kiporo uliochezwa kwenye uwanja wa Kambarage, Shinyanga.

  6. Siyo saizi yenu

    STRAIKA wa Simba, Emmanuel Okwi jana Jumapili alifunga bao pekee lililothibitisha ndani ya uwanja kwamba yeye ni bora kuliko mpinzani wake, Kpah Sherman wa Yanga ambaye wanapokea mshahara...

  7. Siasa, wafadhili vimeua soka Zanzibar- 1

    SOKA la Zanzibar limekuwa likizama siku hadi siku, mafanikio kama yale ya Malindi kucheza nusu fainali ya Kombe la CAF na Zanzibar Heroes kutwaa taji la Chalenji mwaka 1995 hayatoi dalili zozote...

  8. Hawa jamaa noma, wanakomaa na ndondo mwanzo mwisho

    WACHEZAJI wengi wa Ligi Kuu Bara wanapokuwa katika kipindi cha mapumziko baadhi yao hutumia mapumziko hayo kwa kufanya mazoezi binafsi ambayo ni mepesi ili kujiweka fiti kwa matukio yaliyo mbele...

  9. Hawa wana balaa katika kupiga faulo, si utani

    KUPIGA faulo ni zoezi gumu na vilevile ni kipaji. Katika Ligi Kuu Bara kuna wachezaji wachache wa aina hiyo ambao wanapopiga mipira ya michache ya namna hiyo wakikukosa ujue una bahati.

  10. Simba bab-kubwa

    KAMPENI za uchaguzi Simba zimeanza jana Jumatatu mchana nchi nzima. Sambamba na hilo, bosi wa Friends of Simba ametangaza kuwa wameingia kazini rasmi na kusisitiza kwamba hatumwi mtoto sokoni.

Previous

Page 46 of 48

Next