Carrick atia neno kuhusu dili la Rashford KOCHA wa muda wa Manchester United, Michael Carrick amesema hakuna uamuzi wowote uliofanyika katika klabu hiyo kuhusu mshambuliaji Marcus Rashford.
Mtoto aamini P Diddy ataachiwa kabla ya X-Mass KING Combs, mtoto wa kiume wa Rapa na Mfanyabiashara maarufu duniani, Sean ‘Diddy’ Combs amesema anaamini baba yake anaweza kuachiwa mapema kutoka gerezani kabla ya msimu wa Krismasi.
Gwiji Manchester United awachana madogo janja NGULI wa zamani wa klabu ya Manchester United na timu ya taifa ya England, Bryan Robson, amewachana wachezaji chipukizi akiwataka kuwa makini na matumizi yao ya fedha ili kuepuka ‘stresi’ baada...
Gavi amerudi mzigoni KOCHA wa FC Barcelona, Hansi Flick amesema kiungo wake Gavi yuko tayari kurejea uwanjani baada ya kukaa nje kwa muda mrefu kutokana na majeraha.
Msanii wa Bongo Fleva Spack, afariki dunia Msanii wa Bongo Fleva, Selemani Mvamba maarufu kama Spack, amefariki dunia leo Aprili 27, 2026 nyumbani kwake Chanika jijini Dar es Salaam.
Jesca anaendelea alipoishia WBDL NYOTA wa JKT Stars, Jesca Ngisaise ameendelea kudhihirisha ubora wake wa kutupia, baada ya kufunga pointi 94 katika mechi mbili za Ligi ya kikapu Dar es Salaam kwa Wanawake (WBDL).
Job, Kibwana, Mshery watoa msaada wa madawati, vifaa vya shule Wachezaji wa Yanga, Dickson Job, Kibwana Shomary na Abuutwalib Mshery wametoa msaada wa madawati 200, madaftari 3000, mabegi katika shule ya Msingi Kilonga.
Messi atangaza kustaafu soka la kimataifa GWiji wa soka la Argentina, Lionel Messi ametangaza kustaafu kucheza soka la kimataifa, akisema uamuzi huo “umeumiza”, lakini anatambua kuwa wakati umefika wa kuagana na timu yake ya taifa.
William Saliba nje miezi mitano ARSENAL imepata pigo kubwa baada ya beki wake tegemeo, William Saliba, kuripotiwa kuwa huenda akakaa nje ya uwanja kwa miezi minne hadi mitano kutokana na majeraha ya mgongo.
CAF yatangaza tarehe ya Super Cup, Mamelodi kuivaa USM Alger Shirikisho la Soka Afrika (CAF) limetangaza rasmi kuwa Novemba 8, 2026 ndiyo tarehe ya mchezo wa CAF Super Cup, utakaowakutanisha mabingwa wa mashindano makubwa mawili ya ngazi ya klabu barani...