Hello

Your subscription is almost coming to an end. Don’t miss out on the great content on Nation.Africa

Ready to continue your informative journey with us?

Hello

Your premium access has ended, but the best of Nation.Africa is still within reach. Renew now to unlock exclusive stories and in-depth features.

Reclaim your full access. Click below to renew.

Search

477 results for Ibrahim Mussa :

  1. Yanga kwa magoli! Wamepoteza mbaya

    YANGA leo Jumamosi itakuwa kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam kucheza mchezo wa marudiano ya Ligi ya Mabingwa Afrika hatua ya awali dhidi ya Cercle de Joachim ya Mauritius, lakini katika...

  2. Unabisha? Yanga 4 Simba 2

    ULE muda wa lawama umewadia! Simba na Yanga zinatarajiwa kuvaana wikiendi hii katika pambano la Ligi Kuu Tanzania Bara. Pambano ambalo wadau wa klabu hizo huwa roho juu kwa muda wote wa dakika 90.

  3. Simba noma Dar mpaka mkoa

    HII sasa sifa. Licha ya kupunguzwa dozi zake, lakini Simba jana Jumapili iliendeleza wimbi la ushindi ikishinda mechi ya sita mfululizo tangu iwe chini ya Kocha Jackson Mayanja, baada ya kuichapa...

  4. Kiiza, Ajib na Kiongera mbona wanakamua freshi

    KOCHA, Jackson Mayanja, amewapa masharti wachezaji wake kwa kuwaambia anataka washindane, atakayeanza akipiga mabao matatu, atakayeingia apige matatu vilevile.

  5. Wachezaji 7 Simba wamerogwa?

    TAKWIMU hazidanganyi. Hali ya washambuliaji wa Simba inaonekana kuwa mbaya katika kipindi cha mwezi mmoja uliopita ambapo timu hiyo imecheza michezo minane ya mashindano ambapo imeshinda mitatu tu.

  6. Simba yaamua kiume

    BAADA ya kujishtukia kuwa imechemka sana kwenye usajili wa msimu huu, klabu ya Simba imeamua kufanya kwelina kama mipango yao itakaa vyema na kufanikiwa, basi ni lazima wapinzani wao wa Ligi Kuu...

  7. ROHO NYEUPE: Kwa Simba hii, hata Hans Pluijm angelaumiwa

    SIMBA tayari imeanza mambo yake. Baadhi ya viongozi wa timu hiyo wanadai kuwa timu yao inacheza chini ya kiwango, licha ya kwamba inapata matokeo ya ushindi.

  8. Taifa Stars mpaka raha

    MNATAKA nini? Tunataka Bao. Mnataka Nini? Tunataka bao. Ndivyo Taifa Stars ilivyowapa raha Watanzania jana Jumatano baada ya kupata ushindi muhimu nyumbani dhidi ya The Flames ya Malawi katika...

  9. Simba ilikata roho kistaarabu, kukabaki Kiyangayanga

    DAKIKA ya 85, kamera za Azam TV zilimvuta kwa karibu Crescentius Magori, mmoja kati ya marafiki wa Simba. Alikuwa amekasirika.

  10. Msenegali apewa mtihani

    MAMBO ndiyo kwanza yanaanza Msimbazi, atakayeshindwa itakuwa imekula kwake mazima. Kocha Mkuu wa Simba, Dylan Kerr ameweka wazi jukumu zito la straika Msenegali Pape N’Daw baada ya mwezi mmoja wa...

Previous

Page 44 of 48

Next