Ripoti yaipa penalti Everton kwa Arsenal RIPOTI kutoka Jopo la uchunguzi wa matukio tata katika mechi za Ligi Kuu England imefichua kuwa Everton ilipaswa kupewa faida ya pigo la penalti katika mechi yao dhidi ya Arsenal iliyomalizika...
Simu zimeanza kuita kwa Ruben Amorim SIKU chache baada ya kuondoka Manchester United, kocha Ruben Amorim yupo katika nafasi ya kuajiriwa tena nchini Ureno.
Klopp hajafunga mlango wa kutua Real Madrid KOCHA Jurgen Klopp amekiri kuwa hawezi kuondoa uwezekano wa kurejea katika ukocha baada ya kuhusishwa na klabu ya Real Madrid.
Kocha Manchester City amkingia kifua Donnarumma KOCHA wa Manchester City, Pep Guardiola, amemlinda kipa wake Gianluigi Donnarumma ambaye amekuwa akikosolewa kwa pasi zake fupi anazopiga kwenda kwa mabeki.
Kisa Liverpool, Gerrard amvaa Arne Slot LEJENDI wa Liverpool, Steven Gerrard amemwonya kocha wa timu hiyo, Arne Slot aache kulalamikia na kusema udhaifu wa Liverpool kwenye mahojiano na badala yake atafute suluhisho.
Semenyo kupimwa afya Etihad kesho WINGA, Antoine Semenyo anatarajia kukamilisha uhamisho wake kwenda Manchester City baada ya kuichezea Bournemouth mara ya mwisho Jumatano usiku.
Jurgen Klopp atoa neno dili la Real Madrid IMEFICHUKA! kocha Jurgen Klopp ameweka wazi hataki kwenda Madrid hata timu hiyo ikiwasilisha ofa mzani kwa sasa.
Kina Haaland warudisha pesa za mashabiki MASTAAA wa Manchester City wamekubaliana watalipa gharama za tiketi kwa mashabiki 374 waliosafiri hadi Norway kushuhudia kipigo cha kushangaza cha mabao 3-1 kutoka kwa Bodoe/Glimt kwenye Ligi ya...
Ndoto ya Michel Nkuka ‘Lumumba’ yazimika njiani MICHUANO ya Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON) 2025 imefikia patamu baada ya kumalizika kwa mechi za 16 Bora na sasa ngoma imeingia robo fainali, lakini ndoto za Wakongomani hususani shabiki...