Hello

Your subscription is almost coming to an end. Don’t miss out on the great content on Nation.Africa

Ready to continue your informative journey with us?

Hello

Your premium access has ended, but the best of Nation.Africa is still within reach. Renew now to unlock exclusive stories and in-depth features.

Reclaim your full access. Click below to renew.

Search

477 results for Ibrahim Mussa :

  1. Aisee Simba hii sasa sifa

    KILA Ufalme una nyakati zake. Nyakati hizi ni za ufalme wa Simba na hilo limezidi kuthibitika baada ya juzi Jumapili kujipigia Toto Africans kwa mabao 3-0. Ushindi huo umeifanya ijiimarishe...

  2. Simba yazidi kuikacha Yanga

    BAADA ya kupata ushindi mnono wa mabao 6-2 dhidi ya Kagera Sugar, Yanga ilipanda hadi nafasi ya pili na mashabiki wake kuamini bado kidogo iwakamate watani zao Simba waliopo kileleni mwa Ligi Kuu...

  3. Yanga yashtukia kwa Mkude, Mwanjali

    WIKIENDI iliyopita presha yote ya mashabiki wa soka, ilikuwa England kwenye mechi ya Man United na Man City. Lakini hapa Bongo ghafla upepo umehamia Oktoba Mosi ambapo Simba na Yanga zitakipiga...

  4. Kwani sisi na wao lini?

    MASHABIKI wa Simba jana Jumatano walipagawa Uwanja wa Uhuru. Hii ni baada ya chama lao kupata ushindi mujarabu wa mabao 2-1 dhidi ya Ruvu Shooting katika mechi ya Ligi Kuu Vodacom (VPL) Bara na...

  5. Umri mdogo, mpira mwingi

    KILA zama zina mbuyu wake. Kila ufalme una zama zake. Wahenga walikuwa sahihi zaidi kutoa misemo hiyo ambayo katika soka inaonekana kuwa na maana kubwa. Ni eneo ambalo ufalme unabadilika kila...

  6. Amewaumbua

    MSIMU huu Simba imefanya usajili kwa kushirikiana na nyota wake wa zamani ambapo, Ulimboka Mwakingwe alipewa nafasi ya kupendekeza nyota kadhaa na akaingia pale Mtibwa Sugar akawaibia kiungo...

  7. Ajib ni mwanasoka aliyetoka Masaki?

    NAVUTIWA kumtazama mchezaji anayeitwa Ibrahim Ajib. Ukimtazama ndio unapata tafsiri halisi ya neno kipaji. Jinsi anavyokokota mpira, jinsi anavyonyambulika, jinsi anavyopiga pasi, jinsi...

  8. MAVUGO? THUBUTUU!

    MSIMU mpya wa Ligi Kuu ya Vodacom (VPL) Bara unaanza wikiendi hii wakati Yanga akili zao zikiwa bado kwenye michuano ya kimataifa. Jumanne ijayo watakamilisha ratiba ya Kombe la Shirikisho Afrika...

  9. Mwanangu Simba

    ACHANA na matokeo ya sare ya bao 1-1 iliyopata jana Jumapili dhidi ya URA ya Uganda, kikosi cha Simba chini ya Kocha Joseph Omog na Msaidizi wake, Jackson Mayanja kimetulia mwanangu.

  10. Simba eeh bwana ndio

    MSIMU uliopita Wekundu wa Msimbazi hawakuwa na raha kutokana na watani zao Yanga kuonekana kuwa wazuri, wakizoa mataji yote kuanzia Ngao ya Hisani, Kombe la FA na Ligi Kuu Bara.

Previous

Page 41 of 48

Next