Nyota Cagliaria anusurika kifo MSHAMBULIAJI wa Cagliari, Yael Trepy (20), ametoka kwenye koma baada ya madaktari kuondoa mashine ya kumsaidia kupumua, siku mbili baada ya kuokolewa akiwa hajitambui kutoka kwenye bwawa la...
Rooney amtaka nyota Arsenal atue Man United GWIJI wa Manchester United, Wayne Rooney amependekeza Manchester United imsajili chipukizi wa Arsenal, Myles Lewis-Skelly, akiamini anaweza kuwa suluhisho katika nafasi ya beki wa kushoto na pia...
Utata VAR hadharani kwa mashabiki England LIGI Kuu England imeanza msimu huu kwa hatua mpya ya kuongeza uwazi, ikitangaza kuwa uamuzi wote ya Jopo la Matukio Muhimu ya Mechi (KMI Panel) kuhusu waamuzi na VAR yatawekwa wazi kwa mashabiki...
Sababu Simba kukosa uwanja wa mazoezi Kagera KUFUATIA Simba kukosa uwanja wa kufanyia mazoezi kabla ya mchezo dhidi ya Kagera Sugar, Mkurugenzi wa Manispaa ya Bukoba mkoani Kagera, Jacob Nkwera, amesema viwanja vipo, ila changamoto ilikuwa...
Kocha wa Misri ‘azimia’ baada ya wakeze kuzichapa baa, amtaliki mmoja KOCHA wa timu ya taifa ya Misri, Hossam Hassan, anadaiwa kuanguka baada ya wake zake wawili kupigana huku wakivutana nywele mbele ya watalii, kwa mujibu wa ripoti zilizosambaa.
Patrick Vieira kocha mpya Senagal Shirikisho la Soka la Senegal (FSF) limemtangaza kiungo na nahodha wa zamani wa Arsenal, Patrick Vieira, kuwa kocha mkuu mpya wa timu ya taifa ya nchi hiyo (Lions of Teranga).
Fenerbahce yamkomalia Rashford Man United FFENERBAHCE imerudi tena Manchester United ikimtaka mshambuliaji wa timu hiyo na timu ya taifa ya England, Marcus Rashford, mwenye umri wa miaka 28.
Memphis yagoma kumlipa marehemu MSHAHARA wa supastaa wa zamani wa Ligi ya Kikapu Marekani (NBA), Brandon Clarke aliyefariki dunia Mei, mwaka huu akiwa amebakiza msimu mmoja katika mkataba wake mshahara wake wa Dola 12.5 milioni...
Bruno hauzwi! Man United yaigomea Galatasaray MANCHESTER United imesisitiza kuwa nahodha wake, Bruno Fernandes, hayuko sokoni kwa bei yoyote katika dirisha hili la usajili wa majira ya kiangazi, licha ya Galatasaray kujiandaa kuwasilisha ofa...