Hello

Your subscription is almost coming to an end. Don’t miss out on the great content on Nation.Africa

Ready to continue your informative journey with us?

Hello

Your premium access has ended, but the best of Nation.Africa is still within reach. Renew now to unlock exclusive stories and in-depth features.

Reclaim your full access. Click below to renew.

Search

8444 results for Mwandishi Wetu :

  1. Je, akili ya De La Fuente itamzima Messi na Argentina?

    HATIMAYE pazia la Kombe la Dunia 2026 linashushwa kwa pambano la aina yake, ambapo mabingwa wa Ulaya, Hispania, watakutana na mabingwa watetezi wa dunia na Amerika Kusini, Argentina, katika...

    PAMBANO Pict
  2. Kikosi bora cha nusu fainali Kombe la Dunia

    NUSU fainali za Kombe la Dunia ziliandika simulizi mbili za kusisimua huku Hispania, Ufaransa, Argentina na England zikipigania tiketi ya kucheza mechi ya mwisho ya michuano hiyo.

    KIKOSI Pict
  3. Trump kushuhudia fainali ya Kombe la Dunia 2026

    IKULU ya Marekani (White House) imethibitisha Rais Donald Trump atahudhuria fainali ya Kombe la Dunia 2026 kati ya Argentina na Hispania itakayochezwa Jumapili kwenye Uwanja wa New York/New Jersey.

    TRUMP Pict
  4. Pochettino mguu mmoja nje Marekani

    BAADA ya kuiongoza Marekani kufika hatua ya 16 bora ya Kombe la Dunia 2026, Mauricio Pochettino anajiandaa kuachana na timu hiyo na kujiunga na mojawapo ya klabu za Ulaya.

    POCHETINO Pict
  5. Henry ampigia saluti Lionel Messi

    NGULI wa Ufaransa, Thierry Henry, ameshindwa kuficha hisia zake baada ya Lionel Messi kuiongoza Argentina kuichapa England mabao 2-1 na kutinga fainali ya Kombe la Dunia.

    HENRY Pict
  6. Jezi ya Pele yauzwa sh13 bilioni

    JEZI ya gwiji wa zamani wa soka duniani, hayati Edson Arantes do Nascimento ‘Pele’, imenunuliwa kwa kiasi cha Dola 4.9 milioni (Sh13 bilioni) katika mnada uliofanyika juzi Alhamisi, jijini New...

    JEZI Pict
  7. Shakira amsifia Messi, Antonela

    MWANAMUZIKI maarufu duniani, Shakira amempongeza nahodha wa Argentina, Lionel Messi kutokana na kiwango bora alichoonyesha katika ushindi wa mabao 2-1 dhidi ya England uliowapeleka mabingwa...

    SHAKIRA Pict
  8. William Saliba nje miezi mitano

    ARSENAL imepata pigo kubwa baada ya beki wake tegemeo, William Saliba, kuripotiwa kuwa huenda akakaa nje ya uwanja kwa miezi minne hadi mitano kutokana na majeraha ya mgongo.

    SALIBA Pict
  9. Tuchel aja na ishu ya DNA

    KOCHA wa timu ya taifa ya England, Thomas Tuchel, ametetea maamuzi yake yaliyosababisha timu hiyo kuondolewa kwenye Kombe la Dunia, akisema tatizo halikuwa mbinu zake bali ni mtazamo wa wachezaji...

    TUCHEL Pict
  10. Tzolis bado kidogo tu kutua Arsenal

    Arsenal imefikia makubaliano na Club Brugge ya Ubelgiji kumsajili mshambuliaji wa kimataifa wa Ugiriki, Christos Tzolis, kwa ada ya Pauni 34 milioni.

    FUNUNU Pict
Previous

Page 40 of 845

Next