Arsenal yaingia hasara kuruhusu wachezaji kusepa ARSENAL imeripotiwa kuingia hasara ya kuruhusu wachezaji wenye kipaji chenye thamani ya Pauni 47 milioni kuondoka kwenye timu kwa Pauni 260,000 tu kwenye siku ya mwisho ya kufungwa kwa dirisha la...
Familia ya Martinez yafunguka kufeli dili la Man United FAMILIA ya Emiliano Martinez imefunguka kwa mara ya kwanza baada ya kipa huyo wa Aston Villa kushindwa kukamilisha dili lake la kujiunga na Manchester United kwenye siku ya mwisho ya kufungwa...
Arsenal ina mechi saba bila Saliba KOCHA, Mikel Arteta kijasho kinamtoka jinsi namna atakavyokipanga kikosi chake cha Arsenal kutokana na kumkosa beki wa kati, William Saliba kwenye mechi saba muhimu.
Chelsea, Liverpool zamgombea mtoto wa Robinho LIVERPOOL na Chelsea zimeripotiwa kuchuana jino kwa jino kwenye mchakamchaka wa kusaka huduma ya Robinho Jnr, 17 ambaye ni mtoto wa staa wa zamani wa Brazil, Robinho.
Kwa maneno haya... Salah anasepa! SUPASTAA, Mohamed Salah ameweka mambo haradhani huu unaweza kuwa msimu wake wa mwisho kwenye kikosi cha miamba ya soka ya Anfield, Liverpool.
Arsenal imetema mzigo, Liverpool njia nyeupe ARSENAL imebanwa mbavu na Nottingham Forest kwa kutoka suluhu kwenye mchezo wa Ligi Kuu England matokeo ambayo tafsiri yake nyepesi kwamba kikosi hicho cha Mikel Arteta kimekubali yaishe kwenye...
Neymar aanza na sare Santos Staa wa Brazil Neymar, jana alicheza mchezo wake wa kwanza wa Ligi Kuu ya nchi hiyo akiwa na Santos na kuisaidia timu yake kupata sare ya bao 1-1kwenye mechi iliyopigwa katika Uwanja wa Albano...
Bruno: Hakuna namna lazima tubadilike HAKUNA namna, lazima tubadilike. Ndivyo anavyosema Nahodha wa Manchester United, Bruno Fernandes, huku akiwataka nyota wenzake kuonyesha kweli wana ujasiri wa ‘kuchezea timu hiyo’, hasa kipindi...
PRIME Yanga yalegeza kwa Mzize, ishu nzima iko hivi BAADA ya kukaushia dili kadhaa zilizotua mezani kwa ajili ya kutaka kumnunua Clement Mzize, hatimaye mabosi wa klabu hiyo wameamua kulegeza na kuweka bayana sasa wapo tayari kumuuza.
Man City kukatwa pointi 100! BALAA hilo. Manchester City imeonywa kwamba huenda ikakumbana na adhabu ya kupokwa pointi hadi 100 endapo kama itakuwa na hatia ya kukiuka matumizi kwenye Ligi Kuu England.