Isak, Newcastle United wamefikia pabaya STAA wa Newcastle, Alexander Isak inadaiwa amechukizwa sana na kitendo cha viongozi wa timu yake kumwambia wazi hatauzwa dirisha hili la majira ya kiangazi jambo ambalo limevunja matumaini yake...
Van Dijk: Bado tunataka straika NAHODHA wa Liverpool, beki wa kati Virgil van Dijk amesema timu hiyo ya Anfield bado ina tatizo kwenye safu yake ya ushambuliaji, inahitaji straika mpya baada ya kuchapwa na Crystal Palance...
Romeo Beckham anavyotingisha kwenye mitindo WAKATI flani aliwahi kucheza soka kwenye timu za vijana za Arsenal na Inter Miami, lakini akaona haimpi. Akaacha.
Penalti ya Bruno yaanzisha mjadala MJADALA umeibuka huko Manchester United kuhusu chaguo la mchezaji wa kupiga penalti za timu hiyo zitakazopatikana kwenye mechi zao.
Droo ya Mabingwa Ulaya presha kubwa Arsenal DROO ya hatua ya makundi ya Ligi ya Mabingwa Ulaya itapangwa leo Alhamisi, Agosti 28, huku Arsenal ikiripotiwa kuwa hatarini kupangiwa timu ngumu.
PRIME Waarabu wa Mzize, waibomoa RS Berkane ILE klabu inayomtaka mshambuliaji wa Yanga, Clement Mzize haitanii inakusanya mastaa hasa na sasa imepepelea kilio RS Berkane, ikiondoka na nahodha wa timu hiyo. Umm Salal ya Qatar...
Rio ataja wawili tatizo la Man United LEJENDI wa Manchester United, Rio Ferdinand ametaja wachezaji wawili ambao anadhani wangeweza kuwaokoa Manchester United kutoka kwenye kipindi kigumu baada ya Sir Alex Ferguson kuondoka.
Mason Greenwood aidengulia Jamaica STAA wa Marseille, Mason Greenwood ameamua kutojiunga na timu ya taifa ya Jamaica kwa sababu bado ana matumaini ya kuichezea timu ya taifa ya England licha ya kupewa uraia na pasipoti mpya.
Mashabiki Liverpool washangilia kisa Trent MASHABIKI wa Liverpool walionyesha kufurahia sana baada ya beki wa zamani ambaye kwa sasa anaicheza Real Madrid, Trent Alexander-Arnold kutoonyesha kiwango bora katika mchezo wake wa kwanza wa La...
Barca, Madrid zarudi mzigoni La Liga MCHAKAMCHAKA wa La Liga unaanza wikiendi hii, lakini kitu cha kushangaza kwa mara ya kwanza, Real Madrid itasubiri hadi Jumanne kucheza mechi yake ya kwanza kwenye michuano hiyo ya msimu huu.