Hello

Your subscription is almost coming to an end. Don’t miss out on the great content on Nation.Africa

Ready to continue your informative journey with us?

Hello

Your premium access has ended, but the best of Nation.Africa is still within reach. Renew now to unlock exclusive stories and in-depth features.

Reclaim your full access. Click below to renew.

Search

9784 results for Mwandishi :

  1. Chelsea shida ni mishahara

    LICHA ya kufanya kazi ya ziada kwa ajili ya kutafuta mshambuliaji mpya kuelekea dirisha lijalo, ripoti zinaeleza wanakumbana na ugumu wa kumsaini mshambuliaji wa kiwango cha juu kutokana na...

    CHELSEA Pict
  2. Virgil van Dijk amalizana na Liverpool

    BAADA ya kufanikisha kumsainisha mkataba mpya wa miaka miwili mshambuliaji wao Mohamed Salah, mabosi wa Liverpool wanadaiwa pia kufikia makubaliano ya kumsainisha mkataba mpya beki na kapteni...

    VAN Pict
  3. Amorim alilia bahati ya Arteta

    KOCHA wa Manchester United, Ruben Amorim amedai kwamba anahisi hatapewa muda wa kutosha wa kuijenga timu hiyo kama ambavyo Mikel Arteta amepewa huko Arsenal.

    BAHATI Pict
  4. Bosi mpya Arsenal kumvuta Guimaraes

    BOSI mpya atakayesimamia usajili Arsenal, Andrea Berta yupo tayari kumvuta kikosini Bruno Guimaraes ikiwa ni sehemu ya kuunda upya safu ya kiungo ya timu hiyo na kuleta watu wa maana.

    BOSI Pict
  5. Dorgu asifiwa kukataa penalti

    MASHABIKI wa soka wamemmwagia sifa kedekede Patrick Dorgu baada ya beki huyo wa Manchester United kufanya tukio lililoonekana kuwa la kiungwana katika mechi dhidi ya Real Sociedad.

    DORGU Pict
  6. "Bruno aachwe" Amorim awajia juu wachambuzi wa Man United

    KOCHA Ruben Amorim amesema Bruno Fernandes ndio dhahabu ya Manchester United kwa sasa — hivyo amewataka mastaa wa zamani wa timu hiyo ambao kwa sasa ni wachambuzi wampumzishe na waache...

  7. Gyokeres haifikirii kabisa Man United

    KLABU saba ambazo straika Viktor Gyokeres amefungua milango ya kwenda kujiunga nazo dirisha lijalo la uhamisho wa majira ya kiangazi zimewekwa bayana na Manchester United hawamo kwenye orodha.

    HAFIKIRII Pict
  8. Arteta adai Havertz, Gabriel kutibua usajili

    KOCHA wa Arsenal, Mikel Arteta amesema kuna swali zito juu ya hali za wachezaji Kai Havertz na Gabriel baada ya kufanyiwa upasuaji na kwamba wakali hao wanaweza kuwa na athari kubwa kwenye...

  9. Mke wa Onana alizwa mkoba wa Sh200 milioni

    MKE wa kipa namba moja wa Manchester United, Andre Onana ameripotiwa kuporwa na wezi mkoba wake wa Hermes Birkin wenye thamani ya Pauni 62,000 pamoja na saa ya Rolex.

  10. Kocha: Maguire aanze mbele

    KOCHA wa zamani wa Tottenham Hotspur, Harry Redknapp amesema angekuwa anaifundisha Manchester United kwa sasa, basi straika wake namba moja angemfanya kuwa Harry Maguire kutokana na namna...

Previous

Page 345 of 979

Next