NYUMA YA PAZIA: Ronaldinho, nitalipia mkutano na waandishi wa habari
JUNI 11, 2005 katika Ukumbi wa MCI Centre jijini Washington, Marekani, bondia Mike Tyson aliwashangaza mashabiki wa ngumi duniani kote.Kabla ya kuanza kwa raundi ya saba ya pambano lake dhidi ya...