Mama Maria Nyerere awapa baraka washiriki wa Vodacom Nyerere Cycling Tour
Mke wa Rais wa kwanza wa Tanzania, hayati Mwalimu Julius Nyerere, Mama Maria Nyerere, amewabariki waendesha baiskeli wanaoshiriki Nyerere Cycling Tour, safari inayolenga kuunganisha mchezo huo na...