Mziki wa Man United unavyosukwa pale kati RUBEN Amorim anapambana kufumua safu ya kiungo ya kikosi cha Manchester United kuhakikisha kinakuwa bora kwa ajili ya kushindana na wababe wengine kwenye mchakamchaka wa mataji mbalimbali ikiwamo...
Msiogope! Kuna Hincapie pale kwa Gabriel BEKI wa kati wa Arsenal, Gabriel Magalhaes huenda akakaa nje ya uwanja kwa muda usiopungua wiki nne baada ya kupata maumivu ya misuli ya paja alipokuwa kwenye majukumu ya kuitumikia timu ya taifa...
Semenyo anachotaka ni Arsenal tu basi STAA wa Bournemouth, Antoine Semenyo amefunguka akifichua kwamba ni Arsenal tu ndiko anakotamani kwenda kukipiga baada ya maisha ya Vitality Stadium kufika ukomo.
Liverpool yaonywa kuhusu Robertson LIVERPOOL imeonyesha kwamba itakuwa imepata hasara kubwa endapo kama itamruhusu beki wa kushoto Andrew Robertson aondoke katika klabu hiyo.
DR Congo kuumana na hawa mchujo Kombe la Dunia Wapinzani watano wa DR Congo katika mechi za hatua ya mwisho za mchujo kuwania kufuzu Fainali za Kombe la Dunia 2026 wamejulikana rasmi usiku wa kuamkia leo baada ya mechi za mwisho za hatua ya...
Bado sita tu kufuzu Kombe la Dunia 2026 HADI kufikia leo Jumatano Novemba 19, 2025, tayari timu za mataifa 42 zimejihakikishia nafasi ya kucheza Fainali za Kombe la Dunia zitakazofanyika mwaka 2026 katika nchi za Canada, Mexico na...
ZILIPIGWA: Mapambano 10 bora zaidi ya ngumi duniani muda wote JANGA la Uviko-19 liliyafanya mambo mengi katika maisha ya binadamu kusimama. Miongoni mwa hayo mapambano mengi ya ngumi ambayo mashabiki walikuwa wakiyasubiri kwa hamu yaliahirishwa.
Odegaard awapa kicheko Arsenal, kukipiga na Spurs NAHODHA wa Arsenal, Martin Odegaard amesema ameanza kupona majeraha yake hivyo matumaini yake ni makubwa atakuwapo kwenye mechi ya North London derby, Jumapili.
Awilo, Fuse ODG jukwaa moja Tuzo za CAF 2025 Shirikisho la Soka Afrika (CAF), limetangaza orodha ya wasanii watakaotumbuiza katika hafla ya utoaji Tuzo za CAF 2025, itakayofanyika kesho Jumatano, Novemba 19, 2025 katika Chuo Kikuu cha...
Liverpool yabaniwa kwa Semenyo, lakini haijaisha MPANGO wa Liverpool kutaka kimsajili mshambuliaji wa Bournemouth na timu ya taifa ya Ghana Antoine Semenyo, unakaribia kufa baada ya klabu yake kuendelea kushikilia msimamo wa kutohitaji kumuuza...