Sadio Mane atoa stori ya Jurgen Klopp STAA Sadio Mane amefichua kwamba ameombwa radhi na kocha Jurgen Klopp baada ya kushindwa kumsajili wakati akiwa Borussia Dortmund ya Ujerumani.
Arsenal, Spurs jino kwa jino dili la Scott McTominay ARSENAL inatazama uwezekano wa kumsajili kiungo wa Napoli na timu ya taifa ya Scotland, Scott McTominay, 28, katika dirisha lijalo la majira ya kiangazi.
Palmer majanga! Kuzikosa Barcelona, Arsenal baada ya kuvunjika kidole KOCHA wa Chelsea, Enzo Maresca amekiri Cole Palmer amepata jeraha jingine jipya kabla ya safari ya Jumamosi kwenda Burnley katika mechi ya Ligi Kuu England (EPL).
Gattuso apendekeza Ligi Kuu Italia isimame kwa muda Kocha wa timu ya taifa ya Italia, Gennaro Gattuso, ameomba mechi za Serie A zilizopangwa kabla ya mechi za mchujo wa kufuzu Kombe la Dunia 2026, ziahirishwe ili kutoa muda kwa kikosi hicho...
Kigogo Homeboyz ataka Benni McCarthy atimuliwe MWENYEKITI wa klabu ya Kakamega Homeboyz, Cleophas Shimanyula amelitaka Shirikisho la Soka Kenya (FKF), kumfukuza kocha wa timu ya taifa, Harambee Stars, Benni McCarthy kutokana na aibu ya kipigo...
Kipa Singida Black Stars aibua gumzo Nigeria Gwiji wa soka nchini Nigeria, Yakubu Aiyegbeni, ameibuka na kuhoji uamuzi wa kocha wa timu ya taifa ya nchi hiyo, Eric Chelle, wa kumjumuisha kipa anayekipiga nchini Tanzania, Amas Obasogie...
Thibaut Courtois ataja walinda mlango watatu bora duniani Kipa wa timu ya taifa ya Ubelgiji na klabu ya Real Madrid, Thibaut Courtois, ametaja orodha ya makipa bora, ambao anaamini kwa sasa wanafanya vizuri katika soka la ushindani.
Mane afichua kwa nini aliikataa Man United na kutimkia Anfield Hatimaye mshambuliaji wa Al Nassr ya Saudi Arabia, Sadio Mané, amefichua kuwa alikataa kusajiliwa na Manchester United na badala yake akaamua kujiunga na Liverpool mwaka 2016.
Tanzania yaporomoka nafasi tano viwango vya ubora FIFA Tanzania imeporomoka kwa nafasi tano kwenye viwango vya ubora vya Shirikisho la Mpira wa Miguu Duniani (FIFA) katika chati ya viwango ya mwezi Novemba.
Paul Pogba kurudi dimbani baada ya mwaka mmoja Kiungo wa Ufaransa, Paul Pogba anatarajiwa kucheza mechi yake ya kwanza akiwa na AS Monaco kesho Jumamosi, Novemba 22, 2025 dhidi ya Rennes, huku akiendelea kujiandaa kurejea katika mechi za...