Dili tano za kusubiri hizi hapa DIRISHA la usajili wa wachezaji la majira ya kiangazi limeshafunguliwa tangu Juni Mosi na sasa klabu zipo bize kwelikweli kusaka wachezaji mwafaka wa kuboresha vikosi vyao kwa ajili ya msimu wa...
Liverpool yawasilisha ofa mpya kwa Florian Wirtz LIVERPOOL iko tayari kutoa ofa ya mwisho yenye thamani ya Pauni 118 milioni kwa ajili ya kumsajili kiungo mshambuliaji wa Bayer Leverkusen na timu ya taifa ya Ujerumani, Florian Wirtz, mwenye...
West Ham United yaacha watano, Antonio bado WEST Ham United imetangaza kuwatema wachezaji watano dirisha hili la uhamisho wa majira ya kiangazi, lakini ikishindwa kubainisha chochote juu ya hatima ya straika wao, Michail Antonio.
Spurs kumchukua Frank wa Brentford KOCHA Thomas Frank ameripotiwa kukubali kwenda kuwa kocha mpya wa Tottenham Hotspur.
PRIME Kwa Yanga hili wala sio la kwanza ALHAMISI iliyopita, Juni 5, waliojitambulisha kama wazee wa Yanga, walijitokeza na kusisitiza timu yao haitocheza mechi ya Juni 15 dhidi ya Simba hadi baadhi ya viongozi wa Bodi ya Ligi Kuu Bara...
Refa wa kwanza mweusi EPL, Uriah Rennie afariki dunia Mwamuzi wa kwanza mwenye asili la Afrika aliyechezesha Ligi Kuu ya England (EPL), Uriah Rennie, amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 65.
Grealish anaondoka Man City na kibunda chake KUNA stori zinasambaa huenda nyota wa Manchester City, Jack Grealish akapewa mkono wa kwaheri na miamba hiyo baada ya kudumu kwa takriban miaka minne.
Manchester United kutumia akili kubwa kwenye usajili NDIYO. Manchester United haina presha kwenye masuala ya usajili kuhusu pesa na inatarajia kutumia pesa za mauzo ya mastaa wake kushusha vyuma vipya klabuni hapo.
Tuchel abariki mastaa England kuzomewa KOCHA wa timu ya taifa ya England, Thomas Tuchel aliwakosoa vikali wachezaji wake kwa ‘kuchezea moto’ katika ushindi mwembamba kwenye mechi ya kufuzu Kombe la Dunia dhidi ya Andorra usiku wa...
Ronaldo aendeleza moto, Ureno ikiweka rekodi mpya Mabingwa hao wameongeza taji la tatu la kimataifa kwenye kabati lao, ikiwa ni pamoja na ubingwa wa EURO 2016.