Amorim: Wakikosa timu tunaishi nao KOCHA wa Manchester United, Ruben Amorim huenda akafungua milango kuwakaribisha kikosi mastaa wanne asiowataka endapo kama watashindwa dili za kuwaondoa jumla Old Trafford.
CHAN 2024: Appiah anavyowapa tabasamu Wasudani KOCHA wa timu ya taifa la Sudan, James Kwesi Appiah ambaye kesho, Jumanne ataongoza kikosi hicho kucheza mechi ya nusu fainali ya mashindano ya CHAN dhidi ya Madagascar, ameweka historia kwenye...
CHAN 2024: Makocha Kenya wakubali kiwango KOCHA wa timu ya Tusker, Charles Okere na wa City Stars, Salim Babu pamoja na yule wa Bidco, Anthony Akhulia wamesema kuwa kiwango cha Harambee Stars katika michuano ya mataifa ya Afrika kwa...
Eberechi Eze afichua siri Arsenal STAA Eberechi Eze amefichua ni kama alikuwa kwenye majaribio kikosi cha Arsenal kwa miaka minne akijaribu kuwashawishi asajiliwe mara zote alizocheza dhidi yao.
Eze avunja ukimya, afichua kilichomvutia Arsenal Nyota mpya wa Arsenal, Eberechi Eze amefichua ni kama alikuwa kwenye majaribio ya kikosi hicho kwa miaka minne akijaribu kuwashawishi asajiliwe mara zote alizocheza dhidi yao.
Arteta aanza kutafuta kisingizio KOCHA wa Arsenal, Mikel Arteta amekiri majeruhi wengi kwenye kikosi chake limekuwa tatizo linalowatatiza kwenye mchakamchaka wao wa kusaka ubingwa wa Ligi Kuu England.
Mpoki ateuliwa mhariri Mtendaji Mkuu MCL KAMPUNI ya Mwananchi Communications Limited (MCL), imemteua Mpoki Thomson kuwa mhariri mtendaji mkuu mpya ili kuimarisha mabadiliko ya kihabari kuelekea mfumo wa kidijitali unaoongozwa na ubunifu...
FIFA yakoleza utamu usajili wa mastaa EPL MAMBO ni moto. Ligi Kuu England inaweza kuwa na madirisha mawili ya usajili wa majira ya kiangazi mwaka huu baada ya klabu kupiga kura na kukubaliana jambo ya hilo.
Ancelotti hatarini kufungwa jela KOCHA Carlo Ancelotti amejiweka kwenye hatari ya kufungwa jela kwa zaidi ya miaka minne baada ya kudaiwa kukwepa kulipa kodi, mahakama moja ya Hispania imefichua. cha Real Madrid kilitarajiwa...