Hello

Your subscription is almost coming to an end. Don’t miss out on the great content on Nation.Africa

Ready to continue your informative journey with us?

Hello

Your premium access has ended, but the best of Nation.Africa is still within reach. Renew now to unlock exclusive stories and in-depth features.

Reclaim your full access. Click below to renew.

Search

9741 results for Mwandishi :

  1. Kisa Gyokeres Man United yamgeukia huyu

    MANCHESTER United wameonyesha nia ya kumsajili mshambuliaji wa Eintracht Frankfurt, Hugo Ekitike, baada ya kufahamishwa Viktor Gyokeres anatamani zaidi kujiunga na Arsenal.

    GYOKERES Pict
  2. Liverpool yamgeukia Anthony Gordon

    LIVERPOOL inaangalia uwezekano wa kufanya dili la Pauni 100 milioni la kumsajili nyota wa Newcastle, Anthony Gordon.

    LIVERPOOL Pict
  3. Mgogoro Israel, Iran waua ndugu wa mshambuliaji Inter Milan

    STAA wa Inter Milan na timu ya taifa ya Iran, Mehdi Taremi ameshindwa kuungana na timu yake kwa kukosa usafiri wa kwenda Marekani kutokana na mgogoro unaoendelea baina ya nchi yao na Israel.

    IRAN Pict
  4. Onana atumika kumshawishi Mbeumo

    KIPA wa Manchester United, Andre Onana ameripotiwa kutumia muda wake mwingi kumshawishi mchezaji mwenzake wa Cameroon, Bryan Mbeumo kujiunga na chama hilo linalonolewa na Ruben Amorim baada ya...

    ONANA Pict
  5. Tuchel abariki mastaa England kuzomewa

    KOCHA wa timu ya taifa ya England, Thomas Tuchel aliwakosoa vikali wachezaji wake kwa ‘kuchezea moto’ katika ushindi mwembamba kwenye mechi ya kufuzu Kombe la Dunia dhidi ya Andorra usiku wa...

    TUCHEL Pict
  6. Ishu la Wirtz, Liverpool yakubali yaishe

    MABOSI wa Liverpool wanajiandaa kulipa Pauni 126 milioni ili kumnasa kiungo wa Bayer Leverkusen Florian Wirtz haraka iwezekanavyo.

    LIVERPOOL Pict
  7. Man United kufanya tena mabadiliko

    MKUU wa masuala ya mpira wa miguu wa Manchester United, Dave Brailsford anatarajiwa kujiondoa katika nafasi hiyo ikiwa ni sehemu ya mabadiliko makubwa yanayofanywa na tajiri wa timu hiyo Sir...

    MABADILIKO Pict
  8. Man United yaondoa jezi za mawinga sokoni

    HABARI ndo hiyo. Manchester United imeziondoa sokoni jezi za mawinga wake Jadon Sancho na Antony sasa na kuziweka kando kwenye tovuti ya klabu hiyo.

    MAWINGA Pict
  9. De Bruyne hana maneno mengi

    KIUNGO Kevin De Bruyne ametoa ujumbe wake wa maneno machache baada ya kukamilisha uhamisho wake wa bure kutoka Manchester City kwenda Napoli.

    KDB Pict
  10. Gyokeres awakataa mabosi Sporting Lisbon

    STRAIKA wa Sporting Lisbon, Viktor Gyokeres amekataa ombi la kufanya mazungumzo na viongozi wa timu yake huku sakata lake la uhamisho likizidi kuchukua suta mpya.

    GYOKERES Pict
Previous

Page 275 of 975

Next