Hello

Your subscription is almost coming to an end. Don’t miss out on the great content on Nation.Africa

Ready to continue your informative journey with us?

Hello

Your premium access has ended, but the best of Nation.Africa is still within reach. Renew now to unlock exclusive stories and in-depth features.

Reclaim your full access. Click below to renew.

Search

477 results for Ibrahim Mussa :

  1. Ukweli ndivyo ulivyo! Kina Ajibu kuna mahali wanakwama!

    Bao la Stars iliyotangulia lilifungwa kwa mkwaju wa penalti na Shadrack Nsajigwa dakika mbili kabla ya pambano kumalizika. Wengi waliamini Stars ilikuwa ikienda Nusu Fainali kwani msimu huo timu...

  2. Farid Mussa kumfuata Samatta England

    MILTON Keynes Dons ya Ligi Daraja la Pili England inatajwa kuwa miongoni mwa klabu zenye mpango wa kumsajili winga wa Kimataifa wa Tanzania, Farid Mussa ambaye mkatabaka wake wa kuichezea CD...

  3. Kagere, Morrison penalti zimewaumbua na kuwabeba Ligi Kuu Tanzania

    Katika mchezo huo kinara wa mabao wa Ligi Kuu, Meddie Kagere mwenye mabao 14 na Ajib Ibrahim penalti zao ziliota mbawa. Lakini kama hujui kuna wengine huko Ligi Kuu nao walichomesha.

  4. Morrison ainusuru Yanga ikilazimisha sare kwa Mbeya City

    Matokeo hayo yanaifanya Yanga kubaki katika nafasi ya tatu wakiwa na pointi 38, wakati Simba wakiongoza ligi kwa pointi 53, huku Azam ikiwa ya pili kwa pointi 44.

  5. Adam aitanguliza JKT Tanzania

    BAO la dakika 24, lililofungwa na mshambuliaji wa JKT Tanzania Adam Adam, lilitosha kuitanguliza timu yake dhidi ya mabingwa watetezi Simba katika mechi ya Ligi Kuu Bara inayoendelea jioni hii...

  6. Mgeveke, Samson wa Mwadui wampoteza vibaya Kagere

    Mabao ya Clatous Chama na Francis Kahata katika kila kipindi yalitosha kuipa ushindi Simba dhidi ya Mwadui FC ambayo ilipata bao lake kupitia kwa Gerrard Mdamu.

  7. Zanzibar inaikaba koo bara hapa tu

    WIKI mbili zilizopita kocha wa Timu ya Taifa ya Zanzibar (Zanzibar Heroes), Hemed Suleiman ‘Morocco’ alitangaza kikosi cha awali cha wachezaji 40, kitakachokwenda Kampala nchini Uganda kushiriki...

  8. Huyu Miraji 'Sheva' mbona mtakoma Ligi Kuu Tanzania

    Ujanja wake wa kukaa katika nafasi sahihi na kutumia vyema nafasi uliirahisishia kazi Simba baada ya nyota huyo kupachika mabao mawili yaliyokuwa na umuhimu mkubwa katika mchezo huo.

  9. No Agenda: Roma alikutana na mzimu wa Che Guevara Zimbabwe!

    Tukamwambia “Imba Roma Imba”, akasema yeye ni baba wa familia, akiuawa nani atamlea mwanaye? Akatupa stori nyingi kuhusu mahangaiko ya familia yake, mama yake alivyovamia mpaka vyumba vya...

  10. Fei Toto, Morris waipa mzuka Zanzibar Heroes

    TIMU ya soka ya taifa ya Zanzibar ‘Zanzibar Heroes’, imeanza mazoezi rasmi juzi katika uwanja wa Amaan mjini Unguja chini ya kocha mkuu Hemed Suleiman ‘Moroko’.

Previous

Page 28 of 48

Next