Hello

Your subscription is almost coming to an end. Don’t miss out on the great content on Nation.Africa

Ready to continue your informative journey with us?

Hello

Your premium access has ended, but the best of Nation.Africa is still within reach. Renew now to unlock exclusive stories and in-depth features.

Reclaim your full access. Click below to renew.

Search

7995 results for Mwandishi Wetu :

  1. Thierry Mouyouma: Gabon imeadhibiwa kwa makosa yetu

    Kocha wa timu ya taifa ya Gabon, Thierry Mouyouma, amefichua makosa yaliyoiponza ipoteza mechi ya mchujo ya Kombe la Dunia 2026, mbele ya Nigeria iliyochomoz ana ushindi 4-1, jana Alhamisi...

    MOUYOUMA Pict
  2. Kocha wa Jamhuri ya Ireland afichua alichoambiwa na Ronaldo

    Kocha wa Jamhuri ya Ireland, Heimir Hallgrímsson, amefichua kile ambacho Cristiano Ronaldo alimwambia baada ya nyota huyo wa Ureno kupewa kadi nyekundu wakati wa mechi ya kufuzu Kombe la Dunia...

    KOCHA Pict
  3. Chelle aipongeza Super Eagles, afichua siri ya ushindi

    Kocha mkuu wa Super Eagles, Eric Chelle, ameshindwa kuficha furaha yake baada ya ushindi wa mkubwa wa 4–1 dhidi ya Gabon katika mechi ya nusu fainali ya mchujo wa Kombe la Dunia 2026, iliyochezwa...

    CHELE Pict
  4. Kisa kadi nyekundu, Martinez amkingia kifua Ronaldo

    Kocha wa timu ya taifa ya Ureno, Roberto Martínez, amemkingia kifua nahodha na mshambuliaji wa kikosi hicho, Cristiano Ronaldo, kufuatia adhabu ya kadi nyekundu aliyopewa katika mechi ya kufuzu...

    MARTINEZ Pict
  5. Yanga yafanya kweli, Pedro aongezewa mtu

    Fahanu zaidi hapa

  6. Jamie Carragher: Slot, piga chini Mo Salah

    STAA wa zamani wa Liverpool, Jamie Carragher amemwambia kocha wa miamba hiyo ya Anfield, Arne Slot anapaswa kumpiga chini Mohamed Salah endapo staa huyo wa Misri ataendelea kufanya hovyo uwanjani.

    JAMIE Pict
  7. Barca bado yamtaka Kane akamrithi Lewandowski

    BARCELONA inamwangalia straika wa Bayern Munich na timu ya taifa ya England, Harry Kane, 32, kama mbadala wa mshambuliaji wao wa kimataifa wa Poland, Robert Lewandowski, 37, ambaye ataondoka...

    FUNUNU Pict
  8. Mbrazili wa Real Madrid afunguka mazito

    KUISHI kwingi, kuona mengi. Ndicho unachoweza kusema baada ya mchezaji Cicinho kuibuka na kufichua kwamba alikuwa akinywa bia 10 kwa siku na alikuwa akienda mazoezini kwenye kikosi chake cha Real...

    MBRAZIL Pict
  9. Amorim kugeukia madogo Man United

    MANCHESTER United imefichua kwamba itahamia kwenye akademia yao kuchukua makinda wenye viwango bora wakati mastaa wa kikosi cha kwanza watakapokwenda kucheza michuano ya Afcon pamoja na kupata...

    AMORIM Pict
  10. Conte, Napoli wakati wowote mazingira yatabadilika

    KIBARUA cha kocha Antonio Conte huko Napoli kipo kwenye hali ya sintofahamu kutokana na kile kilichotokea wikiendi iliyopita.

    CONTE Pict
Previous

Page 262 of 800

Next