Hello

Your subscription is almost coming to an end. Don’t miss out on the great content on Nation.Africa

Ready to continue your informative journey with us?

Hello

Your premium access has ended, but the best of Nation.Africa is still within reach. Renew now to unlock exclusive stories and in-depth features.

Reclaim your full access. Click below to renew.

Search

7993 results for Mwandishi Wetu :

  1. Barca ijayo... Harry Kane, Rashford chama Moja

    HABARI ndo hiyo. Barcelona inafanya mpango wa kuhakikisha masupastaa wa England, Harry Kane na Marcus Rashford wanacheza pamoja kwenye fowadi yao msimu ujao.

    RASHFORD (1)
  2. Mwamuzi wa Morocco kuamua Nigeria v DR Congo

    Mwamuzi wa Morocco, Jalal Jayed, ndiye atakayepuliza kipyenga katika mechi ya fainali ya mchujo wa kufuzu Kombe la Dunia 2026 kati ya Nigeria dhidi ya DR Congo itakayopigwa leo Jumapili, Novemba...

    MWAMUZI Pict
  3. Nne za Afrika zafuzu 16 bora Kombe la Dunia chini ya miaka 17

    Nchi nne za Afrika zimefanikiwa kufuzu hatua ya Raundi ya 16 ya Kombe la Dunia la FIFA la Vijana chini ya miaka 17 nchini Qatar.

    U17 Pict
  4. Benn alipa kisasin kibabe, akimzima Eubank JR

    BONDIA Conor Benn amefanikiwa kulipa kisasi mbele ya mpinzani wake, Chris Eubank Jr. katika pambano la uzito wa middle, lililochezwa jana Jumamosi jijini London, England.

    KAPILIMA
  5. Desabre: Tunafahamu DR Congo inadharauliwa, lakini tutapambana

    Kocha wa mkuu wa timu ya taifa ya DR Congo, Sébastien Desabre, amekiri kuwa kikosi chake kinachukuliwa kama washindikizaji kuelekea mechi ya fainali ya mchujo wa kufuzu Kombe la Dunia 2026, dhidi...

    DESABRE Pict
  6. Chelle: Tupo tayari kuikabili DR Congo

    Kocha mkuu wa timu ya taifa ya Nigeria maarufu Super Eagles, Éric Chelle, amesema kikosi chake kipo tayari kwa ajili ya mechi ya fainali ya mchujo ya kufuzu Kombe la Dunia 2026 dhidi ya DR Congo,...

    CHELLE Pict
  7. Gernot Rohr aitahadharisha Nigeria kufuzu Kombe la Dunia

    Kocha wa zamani wa timu ya taifa ya Nigeria, Gernot Rohr, ametabiri matokeo ya fainali ya mchujo wa kufuzu Kombe la Dunia 2026 kati ya Super Eagles na DR Congo

    GERNOT Pict
  8. Harry Kane ajishtukia akiipigia hesabu Ballon d'OR

    STRAIKA wa England na Bayern Munich, Harry Kane anaendelea kufumania nyavu kwa kasi ya ajabu msimu huu, lakini ni kama amejishtukia baada ya kusema anatambua wazi matumaini ya kushinda Ballon...

    KANE Pict
  9. Makhachev amtwanga Maddalena na kubeba taji jingine la UFC

    ISLAM Makhachev, mpiganaji wa mchanganyiko wa sanaa za mapigano (MMA) amefanya kweli baada ya kumzidi ujanja Jack Della Maddalena katika pambano la raundi tano na kutwaa ubingwa wa UFC uzito wa...

    ISLAM Pict
  10. Kisa kadi nyekundu ya Ronaldo, PFF kuwasilisha malalamiko FIFA

    Shirikisho la Mpira wa Miguu Ureno (PFF), limetoa taarifa ya kutokubaliana na adhabu aliyopewa nahodha na mshambuliaji wa timu ya taifa hilo, Cristiano Ronaldo, kutokana na tabia yake ya ukali...

    PFF Pict
Previous

Page 259 of 800

Next