Morocco vs Taifa Stars kazi ipo hapa, Mmali kuamua UNAIJUA vita ya Daudi na Goliati? Kwa wale wasomaji wa maandiko matakatifu ni wazi mmeshawahi kukutana na kisa cha Daudi kupigana na Goliati. Jitu la miraba minne kutoka kwa watu waliofahamika...
Djigui Diarra mtu na nusu, aibeba Mali Afcon 2025 KIPA, Djigui Diarra amekuwa shujaa wa Mali iliyocheza na wachezaji 10 uwanjani baada ya kuokoa penalti mbili kuifanya timu yake kuichapa Tunisia na kutinga robo fainali ya mashindano ya Kombe la...
Rice apiga mbili, Arsenal ikijikita kileleni LONDON, ENGLAND: DECLAN Rice alifunga mabao mawili katika mechi yake ya kwanza baada ya kupona jeraha, akiiongoza Arsenal kupata ushindi muhimu ugenini dhidi ya Bournemouth wakishinda 3-2. Beki...
Wolves yapata ushindi wa kwanza EPL 2025/26 WOLVES imeanza mwaka 2026 kwa ushindi wao wa kwanza wa Ligi Kuu England msimu huu, baada ya kuwafunga wapinzani wao wa kuwania kuepuka kushuka daraja, West Ham United, kwa mabao 3-0 kwenye Uwanja...
Senegal yapiga tatu, yatinga robo fainali SENEGAL imekuwa timu ya kwanza kutinga robo fainali ya mashindano ya Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON) 2025 baada ya kuichapa Sudan mabao 3-1 katika mchezo wa hatua ya 16 bora uliofanyika...
Man City, Liverpool vita kali kumuwania Rodrygo WINGA wa Real Madrid na timu ya taifa ya Brazil, Rodrygo Goes, 24, ameonyesha nia ya kuondoka katika dirisha hili kutokana na kutoridhishwa na nafasi yake ndani ya kikosi hicho.
Sergio Ramos kuinunua Sevilla BEKI wa boli, Sergio Ramos amepanga kurejea kwa kishindo katika ulimwengu wa soka na inaripotiwa kuwa anaweza kuinunua moja ya klabu alizowahi kuzichezea zamani.
Semenyo kila kitu kipo poa Man City HABARI ndo hiyo. Antoine Semenyo anatazamwa kama mchezaji ambaye anaweza kwenda kuamua mshindi wa Ligi Kuu England msimu huu.
Msako wa kocha Chelsea, Liam Rosenior anatajwa tajwa CHELSEA ipo sokoni kwa sasa kusaka kocha mpya baada ya mshangao wa kufukuzwa kwa Enzo Maresca siku ya Mwaka Mpya 2026.
Maajabu ya Indiana Pacers fainali ya kibabe MWAKA 2025 umeshamalizika ukiacha kumbukumbu flani tamu na chungu kwa mashabiki wa Ligi ya Kikapu Marekani (NBA). Lakini, ni kumbukumbu gani ya michuano hiyo mwaka jana uliyoipenda na utabaki...