Arsenal, Man City zatawala ubashiri wa ubingwa EPL MABINGWA watetezi Arsenal pamoja na Manchester City zinaendelea kutajwa kuwa timu zenye nafasi kubwa zaidi ya kutwaa ubingwa wa Ligi Kuu England msimu wa 2026/27, kufuatia ubora waliouonyesha...
Air Jordan 3 yapata sura mpya, baada ya miaka 40 Toleo jipya la viatu vya Air Jordan 3 limekuja na muundo unaohifadhi utambulisho wa asili wa viatu hivyo, huku likiongeza maboresho ya kisasa yanayovifanya vijitofautishe na matoleo yaliyotangulia.
Al-Hilal yamnasa Summerville kwa Sh200 Bilioni KLABU ya Al-Hilal ya Saudi Arabia imefikia makubaliano na West Ham United ya kumsajili winga wa kimataifa wa Uholanzi, Crysencio Summerville, kwa ada ya jumla ya Pauni 60 milioni (sawa na Sh200...
Saliba kuikosa Arsenal kwa muda mrefu ARSENAL imethibitisha kuwa beki wake tegemeo William Saliba atakosekana uwanjani kwa muda mrefu baada ya kupata jeraha la mgongo alipokuwa akiitumikia Ufaransa kwenye Kombe la Dunia.
Kisa Fiorentina asimamisha mazoezi Wolves MSHAMBUALIAJI wa Wolves, Tolu Arokodare alisababisha mazoezi ya timu hiyo kusitishwa baada ya kugoma kuondoka uwanjani huku akishinikiza kuhamia Fiorentina.
Depay aituhumu Corinthians kuvunja makubaliano Mshambuliaji wa zamani wa Manchester United, Memphis Depay, ameukosoa uamuzi wa Corinthians wa kutomwongezea mkataba, akidai klabu hiyo ya Brazil imekiuka makubaliano waliyofikia ya kuongeza...
Kilichoibeba Tanzania ubingwa FIBA Zone V BAADA ya timu ya Taifa ya Tanzania ya vijana wenye umri wa chini ya miaka 16 kutwaa ubingwa wa Kanda ya Tano ya Afrika, baadhi ya wachezaji wamesema nidhamu na usikivu wa maelekezo ya makocha...
Ahadi nzito ya Paul George Celtics PAUL George ameweka wazi jambo moja wakati wa mkutano wake wa kwanza na waandishi wa habari baada ya kujiunga na Boston Celtics kwamba amesikia sauti za mashabiki ambao hawakuficha masikitiko yao...
Jihan achomoza top 8 Miss Grand International Miss Grand Tanzania 2026 Jihan Dimack, amewashukuru Watanzania kwa ushirikiano na sapoti waliompa katika mchakato wa kura za kipengele cha Country’s Power of the Year kwenye mashindano ya Miss...
Tanzania yaporomoka viwango FIFA, Rwanda yapaa Tanzania imeanguka kwa nafasi tatu katika chati ya viwango vya ubora wa soka ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Duniani (FIFA) kwa mwezi Oktoba 2026.