Hello

Your subscription is almost coming to an end. Don’t miss out on the great content on Nation.Africa

Ready to continue your informative journey with us?

Hello

Your premium access has ended, but the best of Nation.Africa is still within reach. Renew now to unlock exclusive stories and in-depth features.

Reclaim your full access. Click below to renew.

Search

9707 results for Mwandishi :

  1. West Ham yawatema 10

    WEST Ham United imetangaza kuachana na wachezaji 10 kufuatia kushuka daraja kutoka Ligi Kuu ya England kwenda Championship.

  2. Refa Msomalia aliyezuiwa Marekani kuchezesha UEFA Super Cup

    Umoja wa Vyama vya Mpira wa Miguu Ulaya (UEFA) umempanga Refa Omar Artan kuchezesha mechi ya taji la UEFA Super 2026 baina ya PSG na Aston Villa, Agosti 12, 2026.

  3. Ibrahima Konate akaribia kusepa Liverpool

    BEKI wa Liverpool, Ibrahima Konate, anatajwa kuwa mbioni kuondoka Anfield dirisha hili la usajili baada ya kushindwa kufikia makubaliano ya kuongeza mkataba mpya na klabu hiyo.

    KONATE Pict
  4. Kinda Nigeria hajazikwa, mpenzi, rafiki mbaroni

    Kifo cha straika wa zamani wa Southampton na Nigeria, Victor Udoh kimeendelea kuzua maswali nchini humo ikiwa ni wiki moja tangu alipofariki dunia.

  5. Arne Slot aingia rada za AC Milan

    Kocha Arne Slot ameibuka kama mmoja wa wagombea wanaotajwa kuchukua nafasi ya kuinoa AC Milan baada ya kuondoka katika klabu ya Liverpool.

    SLOT Pict
  6. Yanga, Simba zafuzu Ligi ya Mabingwa

    Yanga na Simba zimekata rasmi tiketi ya kushiriki Ligi ya Mabingwa Afrika msimu ujao baada ya kila moja kuibuka na ushindi wa mabao 3-0 katika mechi zilizocheza dhidi ya timu za Azam na Mtibwa...

  7. Mvua, radi zatishia mechi ya Uholanzi na Tunisia

    MECHI ya Kombe la Dunia 2026 inayozikutanisha Uholanzi na Tunisia, ilikuwa katika hatari ya kuahirishwa dakika chache kabla ya kuanza baada ya mamlaka za hali ya hewa kuonya kuhusu uwepo wa mvua...

  8. Julio amchongea Minziro Yanga

    VIJEMBE ni jambo la kawaida Ulaya hasa inapofika kwenye mechi kubwa. Hali hiyo nayo ipo Bongo kwa Simba na Yanga wakati huu timu hizo zikijiandaa na pambano lao la Jumapili ijayo la Ligi Kuu Bara.

  9. Beki wa Inter Milan matatani

    BEKI wa Inter Milan, Alessandro Bastoni, anaripotiwa kuchunguzwa na polisi wa Italia kama sehemu ya uchunguzi unaohusiana na tuhuma za mtandao wa ukahaba unaowahusisha watoto.

  10. Brighton yavunja benki kwa Luka Vuskovic

    BRIGHTON imekubaliana na Tottenham Hotspur kumsajili beki wa Croatia, Luka Vuskovic, kwa ada ya rekodi ya klabu ya pauni46 milioni.

    LUKA Pict
Previous

Page 235 of 971

Next