Dah! Manchester United yaporomoka kiuchumi MANCHESTER UNITED imeshuka hadi nafasi ya nane kwenye orodha ya klabu zenye mapato makubwa zaidi duniani.
Man United, Bruno kukaa mezani MABOSI wa Manchester United wanatarajiwa kufanya kikao na nahodha wa timu hiyo, Bruno Fernandes, 31, ili kumweleza bado wanamhitaji aendelee kusalia Old Trafford kwa angalau msimu mmoja zaidi.
Uefa kususia Kombe la Dunia VIONGOZI wa soka Ulaya wamefanya mazungumzo ya awali kuhusu hatua wanazoweza kuchukua ili kujibu kile kinachofanywa na Rais wa Marekani, Donald Trump kutaka kuichukua Greenland mikononi mwa...
Trent anataka kuondoka Madrid BEKI wa kulia wa Real Madrid, Trent Alexander-Arnold yupo katika rada za timu kadhaa Ulaya zinazohitaji kumsajili baada ya kuona hapati nafasi ya kutosha katika viunga vya Santiago Bernabeu.
Guardiola: Mambo yameharibika KOCHA wa Manchester City, Pep Guardiola amekiri mambo yameharibika katika kikosi chake ikiwa ni siku chache tu baada ya kutabiriwa angejiuzulu nafasi yake kama kocha wa timu hiyo wiki hii.
Kisa Liverpool, Gerrard amvaa Arne Slot LEJENDI wa Liverpool, Steven Gerrard amemwonya kocha wa timu hiyo, Arne Slot aache kulalamikia na kusema udhaifu wa Liverpool kwenye mahojiano na badala yake atafute suluhisho.
Pwani mwenyeji mashindano ya riadha taifa SHIRIKISHO la Riadha Tanzania (RT) limeutaja mkoa wa Pwani kuwa mwenyeji wa mashindano ya taifa ya riadha mwaka huu.
WAMECHOMOA… Watoto wa mastaa waliokimbia soka KUNA msemo usemao kwamba “mtoto wa nyoka ni nyoka” au ule wa “maji hufuata mkondo”. Watu wamekuwa wakitumia misemo hiyo mara nyingi wanapoona mtoto anafuata nyayo za wazazi katika jambo fulani...
Dilunga aungana na Mzamiru TRA KIUNGO wa zamani wa Simba na JKT Tanzania, Hassan Dilunga amekamilisha dili la kujiunga na TRA United akiungana na Mzamiru Yassin waliyecheza pamoja wakiwa Simba.