MABOSI: Wanamichezo 50 tajiri zaidi duniani mwaka huu ukifungwa!
SANAA, burudani na michezo inalipa. Wanasoka, wacheza gofu, tenisi na mabondia wote hupata malipo manono katika ulimwengu wa sasa. Lakini, nani anaongoza orodha ya matajiri kati yao duniani?