Kama huna hela, tiketi Kombe la Dunia 2026 hugusi MASHABIKI wa soka wanaojiandaa kwenda kwenye fainali za Kombe la Dunia 2026 watakabiliwa na kasheshe zito la kuhusu bei ya tiketi za mechi kutokana na kuuzwa ghali sana.
Maeneo ya kujificha ukiwa Morocco kuenjoi Afcon 2025 MAMBO iko huku, unaweza kusema hivyo. Katika kuelekea mashindano ya Afcon 2025, Morocco imeandaa maeneo mazuri na ya kuvutia kwa ajili ya kuwahudumia wachezaji na mashabiki watakaoenda kwenye...
ITRI: Gozi litakalotumika Morocco Afcon 2025 SHIRIKISHO la soka la Afrika (CAF) kwa kushirikiana na kampuni ya vifaa vya michezo, PUMA, imetambulisha mpira maalumu utakaotumika kwenye mashindano ya Afcon 2025 yatakayoanza baadaye mwezi huu...
Majizo awatetea wasanii, wadau wamcharukia FANI ya muziki Tanzania ikiwamo Bongo Flava inakumbwa na msukosuko, huku wasanii wakubwa wakikabiliwa na lawama kutoka kwa mashabiki kutokana na ukimya wao na kile kinachoonekana kutokujali...
Arteta ataja janga jingine huko KOCHA wa Arsenal, Mikel Arteta amethibitisha kuwa Arsenal imepata pigo jingine la majeraha baada ya staa wao aliyesajiliwa katika dirisha lililopita la majira ya kiangazi, Cristhian Mosquera...
Bellingham hata yeye haelewi STAA wa Real Madrid, Jude Bellingham benchi la ufundi la timu hiyo bado linapambana kujua kwanini hawapati matokeo chanya katika mechi za hivi karibuni lakini wao kama wachezaji wanamuunga mkono...
Evra amtetea Ruben Amorim BEKI wa zamani wa Manchester United, Patrice Evra, ameonyesha kumuunga mkono kocha wa mashetani wekundu hao, Ruben Amorim, akidai kuwa ndiye mtu sahihi kwa sasa kwani anatanguliza maslahi ya...
Mohamed Salah anasepa OFISA Mtendaji Mkuu wa Ligi Kuu Saudi Arabia amethibitishwa rasmi mshambuliaji wa Liverpool, Mohamed Salah ni miongoni mwa wachezaji wanaohitaji kuwa nao katika ligi yao dirisha lijalo la majira...
Ibrahima Konate anakaribia kusaini mkataba mpya Liverpool BEKI kisiki wa Liverpool na timu ya taifa ya Ufaransa Ibrahima Konate, mwenye umri wa miaka 26, ambaye anatarajia kumaliza mkataba wake mwisho wa msimu huu, kuna uwezekano mkubwa akasaini mkataba...
Kisa tukio la kuotea, mwamuzi Kenya ashushwa daraja Shirikisho la Soka nchini Kenya (FKF), limetangaza adhabu ilizochukua za makosa ya kinidhamu dhidi ya maofisa watatu kufuatia mapitio ya Kamati ya Waamuzi Taifa kuhusu Mechi ya Ligi Kuu ya Kenya...