Oscar afikiria kutundika daruga MSHINDI mara mbili wa taji la Ligi Kuu England, kiungo wa Kibrazili Oscar ameripotiwa kuwa na mpango wa kustaafu soka kutokana na kuwa na tatizo kubwa ya kiafya.
Mdhamini awaingiza vitani Chelsea, Arsenal CHELSEA imecheka kwa dharau kwa madai ya Arsenal imewapiga kikumbo kwenye kunasa dili la udhamini la pesa ndefu ambalo lilikaribia kutiki huko Stamford Bridge.
Scholes acharuka...Amorim hatoshi Man United GWIJI wa Manchester United, Paul Scholes ameibuka na kumshambulia kocha wa sasa wa timu hiyo, Ruben Amorim, sio mtu sahihi wa kuinoa klabu hiyo.
Mwalimu achukua nafasi ya Sopu AFCON WAKATI kikosi cha Timu ya Taifa ya Tanzania, Taifa Stars kikiendelea na maandalizi ya kushiriki Fainali za Kombe la Mataifa Afrika (AFCON 2025), kocha mkuu wa kikosi hicho, Miguel Gamondi...
Kama huwajui vigogo wa Afcon 2025, ni hawa hapa MASHINDANO ya Kombe la Mataifa ya Afrika 2025 yanaleta pamoja timu bora zaidi kutoka bara zima la Afrika kuonyesha ubabe huko Morocco.
Arteta atoa msimamo wa beki Saliba KOCHA, Mikel Arteta amefunguka juu ya hali ya kiafya ya beki wa kati wa Arsenal, William Saliba.
Rodrygo, Leao wamzuzua Arteta, awataka Arsenal ARSENAL imeonyesha kuvutiwa kwa muda mrefu na winga wa Real Madrid na timu ya taifa ya Brazi, Rodrygo mwenye umri wa miaka, 24, pamoja na winga wa AC Milan na Ureno Rafael Leao, 26, na inataka...
Timu tano Mabingwa Ulaya bado England ENGLAND inaendelea kushikilia tiketi ya kuwa na timu tano kwenye Ligi ya Mabingwa Ulaya msimu ujao kutokana na kufanya vizuri kwenye michuano ya Ulaya kwa wiki iliyopita.
Man United yashusha bili ya mishahara BILI ya mishahara ya Manchester United imeshuka kwa hesabu za robo ya kwanza ya mwaka wa fedha.
Slot, Mo Salah kumaliza ishu yao kwa mazungumzo KOCHA wa Liverpool, Arne Slot amefichua kwamba atafanya kikao cha ana kwa ana na Mohamed Salah ili kufahamu msimamo wa mwisho kama atacheza mechi ya mwisho kwenye kikosi hicho cha Anfield.