Guede ajiapiza Singida Black Stars LICHA ya kupoteza mchezo kwa mabao 2-1 ugenini dhidi ya AS Otoho, mshambuliaji Joseph Guede amesema bado wana nafasi ya kufanya vizuri na kutinga hatua ya robo fainali ya Kombe la Shirikisho...
Solanke afunga bao la kideo kama Giroud STRAIKA Dominic Solanke huenda amefunga bao la msimu baada ya kusawazisha kwa njia ya ubunifu wa hali ya juu dhidi ya Manchester City.
Simba yalaani Mangungu kufanyiwa vurugu Benjamin Mkapa Uongozi wa Simba umelaani vitendo vya vurugu alivyofanyiwa Mwenyekiti wa Klabu hiyo, Murtaza Mangungu baada ya kumalizika kwa mchezo baina yao na Esperance ya Tunisia, leo Jumapili, Februari...
Kocha Yanga afichua siri, akisaka rekodi Uarabuni ACHANA na matokeo ya jioni ya leo ugenini dhidi ya Stellenbosch ya Afrika Kusini katika mechi ya Kombe la Shirikisho Afrika, kocha wa zamani wa Yanga, Sead Ramovic amefichua siri inayombeba...
Mwamba Jet LI unajua maisha yake kwa sasa? WIKI iliyopita, staa wa filamu za mapigano duniani, Jet Li, alitajwa sana kwenye vyombo vya habari amepewa ofa nono na baadhi ya kampuni kwa ajili ya kuigiza tena, baada ya kusimama kwa muda mrefu.
AC Milan yamaliza kwa Mateta, Glasner achelewesha MSHAMBULIAJI wa Crystal Palace, Jean-Phillipe Mateta amefanya makubaliano binafsi na AC Milan juu ya kujiunga nao kwa mkataba utakaomfanya aitumikie klabu hiyo hadi mwaka 2030.
Arsenal yapata pigo tena, yampoteza Saka MBIO za ubingwa kwa Arsenal zimezidi kuingiwa na mikosi baada ya staa wao, Bukayo Saka kupata majeraha yaliyosababisha kutocheza kwenye mechi dhidi ya Leeds United na aliumia dakika za mwisho...
Nidhamu tatizo kwa Bellingham, Bruno atajwa REAL Madrid inaripotiwa kuhitaji kumsajili mmoja wa nyota wa Manchester United kama mbadala wa Jude Bellingham, kutokana na madai ya kuwepo kwa utovu wa nidhamu kwa mchezaji huyo wa kimataifa wa...
Michael Carrick anamtaka Rashford Man United KOCHA wa Manchester United, Michael Carrick anataka kumrejesha mshambuliaji wa timu hiyo, Marcus Rashford anayecheza kwa mkopo Barcelona ikiwa atateuliwa kuwa kocha mkuu wa kudumu wa klabu hiyo.
Chelsea inataka kusajili maeneo yote CHELSEA inaendelea kutafuta wachezaji katika nafasi zote wakati dirisha la usajili likitarajiwa kumalizika usiku wa leo.