Hello

Your subscription is almost coming to an end. Don’t miss out on the great content on Nation.Africa

Ready to continue your informative journey with us?

Hello

Your premium access has ended, but the best of Nation.Africa is still within reach. Renew now to unlock exclusive stories and in-depth features.

Reclaim your full access. Click below to renew.

Search

476 results for Ibrahim Mussa :

  1. Nabi apangua kikosi, watano warejea kikosini

    Kocha Mkuu wa Yanga, Nasreddine Nabi amepangua kikosi chake kitakachoivaa Geita Gold leo kwenye uwanja wa CCM Kirumba jijini Mwanza.

  2. Aucho, Djuma washtua Yanga

    VIKOSI vya Yanga na Geita Gold tayari vipo jijini Mwanza kwa ajili ya mechi yao itakayopigwa leo, huku mastaa wawili wa Jangwani, Khalid Aucho na Djuma Shaban wakishtua mashabiki wa timu hiyo...

  3. Farid amtoa Yassin kikosini

    Farid anacheza katika nafasi hiyo kutokana na kuumwa kwa Bryson Raphael, Kibwana Shomary na Yassin Mustapha ingawa yupo benchi la wachezaji wa akiba.

  4. Djuma azua hofu Yanga

    BEKI Djuma Shaban wa Yanga baada ya kurejea amejikuta akizua hofu kutokana na  kushindwa kumaliza mazoezi yanayoendelea katika uwanja wa Highland, Morogoro. Djuma alikosekana kwenye mechi za awali...

  5. Yanga yaja kivingine ikimkosa Djuma

    KOCHA mkuu wa Yanga, Nasreddine Nabi amepangua kikosi chake kimtindo kwa kufanya badiliko moja kwenye kikosi cha kwanza wakiikabili Mbeya City leo usiku katika Uwanja wa Benjamin Mkapa.

  6. Nabi apangua wanne Yanga

    Wakati Yanga ikibakiza dakika chache kushuka Uwanjani wakiwakaribisha wageni wao Mbao kocha mkuu wa timu hiyo Nesreddine Nabi amefanya mabadiliko manne katika kikosi chake.

  7. Mukoko atakata Yanga ikiiua Mbuni

    Nabi na msaidizi wake Cedrick Kaze waliamua kuwatumia wachezaji wengi ambao wamekuwa hawapati nafasi ya kuanza katika kikosi cha kwanza ambapo golini alisimama Erick Johola akisadiwa na Paul...

  8. Saido, Bangala waanza, Mayele benchi

    Azam FC ndiyo walikuwa wa kwanza kuingia Uwanja wa Amaan kuisubiri Yanga katika mchezo wa nusu fainali ya ya kwanza Kombe la Mapinduzi itakayoanza Saa 10.15 jioni hii. Tayari vikosi vya timu hizo...

  9. Hapo vipi

    UBISHI uko hapa! Nani aanze. Mashabiki vijiweni wamechanganyikiwa na makocha nao mazoezini wanakuna vichwa. Mchuano ni mkali kila mmoja anataka namba Kwa Mkapa kesho.

  10. Mastaa hawa ushindi upo mikononi mwao

    kama wakiamua kujitoa kwa asilimia kubwa kuipambania timu basi KMC itakuwa shoo shoo. MTIBWA SUGAR Wanatuliani hawa hali yao imekuwa mbaya misimu miwili iliyopita na msimu huu haijapata ushindi...

Previous

Page 23 of 48

Next