NJIAPANDA: Utabiri wa wapi mastaa hawa wataenda mikataba yao ikimalizika mwisho wa msimu KILA mwaka, mikataba inayomalizika huleta hatari kwa baadhi ya klabu huku ikifungua milango kwa wachezaji wakubwa kujiunga na timu mpya, wengine wakichagua kumaliza mikataba yao kabla ya kuondoka.
Simba anzeni upya, utulivu unahitajika HUU ni wakati sasa kwa Klabu ya Simba kufanya tathimini ya kina na kuanza upya kwa umakini mkubwa kuelekea msimu ujao wa mashindano.
Endrick apiganiwa England, Madrid yashikilia hatima TOTTENHAM, Leeds United na Sunderland ni miongoni mwa klabu zinazomfuatilia kwa karibu mshambuliaji chipukizi wa Real Madrid na timu ya taifa ya Brazil, Endrick Felipe, 19, ambaye kwa sasa...
Balaa la Bruno Fernandes Manchester United! BRUNO Fernandes hachezi mpira. Bali anafikiria mpira. Kwa kile anachokifanya ndani ya uwanja, basi tu hapewi sifa anazostahiki. Mreno huyo ni fundi wa boli na mara zote amekuwa akifanya mambo...
Kobbie Mainoo amuumbua Ruben Amorim RUBEN Amorim aliamini Kobbie Mainoo hangeweza kucheza sambamba na Casemiro akiona hana nguvu, kasi wala uzoefu.
Dah! Merino atibua hesabu huko Arsenal STAA wa Arsenal, Mikel Merino anatarajiwa kuwa nje ya uwanja muda mrefu kwa jeraha la mguu linalohitaji upasuaji.
Jude Bellingham azua presha England JUDE Bellingham ameshindwa kujizuia na kuangua kulia baada ya kulazimika kutolewa nje kutokana na jeraha la misuli ya paja akiwa na Real Madrid.
Jamie O'Hara aibua mjadala akiitaja Arsenal JE, unaweza kuyachukua maoni ya mpinzani wako na kuyapa kipaumbele? Hilo swali linalowahusu Arsenal kwa sasa kutokana na kile kilichosemwa na kiungo wa zamani wa Tottenham Hotspur, ambao ni...