Ngoy aeleza siri ya ubora Namungo AKIWA amehusika na pointi 14 kati ya 19 ilizoivunia Namungo, mshambuliaji Fabrice Ngoy amesema mafanikio ya ubora yanatokana na kuamini katika kujaribu na ushirikiano uliopo kati yake na wenzake.
Hukumu, heshima wababe wakikunjua misuli CAF YANGA, Azam na Singida Black Stars, bado zina nafasi ya kuitetea Tanzania kwenye michuano ya kimataifa katika kuwania nafasi ya kufuzu robo fainali, hiyo ni baada ya Simba hesabu kwenda vibaya.
Barcelona yamgeukia Lewandowski BARCELONA inataka kumpa mkataba mpya wa msimu mmoja mshambuliaji mkongwe wa kimataifa wa Poland, Robert Lewandowski, 37, lakini kwa mshahara utakaokuwa pungufu ya ule anaokunja kwa sasa.
Arsenal kazi ipo, mechi tatu siku saba ARSENAL italazimika kucheza mechi tatu ndani ya siku saba kabla ya dabi muhimu ya Kaskazini mwa London, baada ya kufuzu fainali ya Kombe la Carabao.
Carrick atofautiana na Ten Hag, Amorim MICHAEL Carrick amefanya mabadiliko katika ratiba ya mazoezi ya kila wiki Manchester United.
Liverpool kuilipa fidia Chelsea LIVERPOOL imeamriwa kuilipa Chelsea Pauni 2.8 milioni baada ya baraza la usuluhishi kutoa uamuzi kuhusu usajili wa Rio Ngumoha.
Ticha, mwanafunzi kuonyeshana ubabe ARSENAL na Manchester City zitakutana katika fainali ya Kombe la Ligi mwezi ujao, pambano litakalomkutanisha mwanafunzi Mikel Arteta dhidi ya mwalimu wake Pep Guardiola.
Ndayiragije afurahia kuwanasa kina Nkane KOCHA Mkuu wa TRA United, Etienne Ndayiragije, amesema maboresho yaliyofanywa na kikosi hicho katika dirisha dogo la usajili yamezingatia mahitaji, na ana matarajio makubwa na nyota wote...
Upamecano apewa ofa nono Bayern Munich BEKI wa Bayern Munich na timu ya taifa ya Ufaransa, Dayot Upamecano, 27, yupo tayari kusaini mkataba mpya na Bayern ambao utamfanya abaki hadi Juni 2030.