Cardi B: Wanaume wanajigonga kila mara MWANADADA Cardi B amedai wanaume wamekuwa wakijigonga kwake kutokana na kujaaliwa umbo tamu la kupendeza.
EVODY: Beki aliyewazima mastaa Simba akiichezea Mtibwa Sugar HAROUB Evody ndiye aliyekuwa shujaa kwenye mchezo uliomalizika kwa sare ya bao 1-1 kati ya wenyeji Simba na Mtibwa Sugar kwa kukabidhiwa tuzo ya mchezaji bora baada ya dakika 90 kutamatika.
Carrick anajua hawezi kupata zali la Solskjaer MICHAEL Carrick anasisitiza kuwa Manchester United haitafanya mabadiliko ya ghafla au ya pupa kuhusu nafasi yake kama kocha mkuu, kama ilivyofanya hapo awali kwa Ole Gunnar Solskjaer.
Ronaldo awekwa mkeka tena SUPASTAA, Cristiano Ronaldo ameondolewa kwenye kikosi cha siku ya mechi cha Al-Nassr kwa mara ya pili mfululizo baada ya kuingia kwenye mgomo.
Guardiola ana kimeo kigumu Anfield TIMU pekee zilizotwaa taji la Ligi Kuu England katika misimu minane iliyopita zitakutana wikendi hii na takwimu zinaonyesha kuwa mabingwa watetezi huenda wakatoka kifua mbele.
Wakala wa Tonali aiamsha Arsenal WAKALA wa kiungo Sandro Tonali ameiamsha Arsenal akidai kwamba anapanga kufanya mazungumzo na Newcastle United majira ya kiangazi kuhusu mustakabali wa nyota huyo.
Kosa kubwa la Golden State Warriors dirisha la usajili NBA 2026 GOLDEN State Warriors wamefika siku ya mwisho ya dirisha la usajili katika Ligi ya Kikapu Marekani (NBA) 2026 wakiwa njiapanda wakijaribu kusawazisha ili kuwa bora kiushindani sambamba na...
Hizi ndizo hesabu za Chipo Mtibwa Sugar BAADA ya kuiongoza Mtibwa Sugar kukusanya pointi 15 katika mechi saba bila kupoteza, ikishinda mechi nne na sare tatu, kocha Yusuf Chipo amesema bado anapambana kuifanya iwe kati ya timu bora na...
Ligi Kuu England…. Kumeanza kuchangamka! POINTI sita zimezitofautisha timu namba moja na mbili kwenye msimamo wa Ligi Kuu England. Na pointi moja zaidi imeitofautisha timu iliyopo kwenye nafasi ya tatu.