Mke wa John Terry awa kivutio Paris TONI Terry, mke wa nyota na nahodha wa zamani wa kimataifa wa Chelsea na England, John Terry amekuwa gumzo jijini Paris baada ya kuonekana mtaani akiwa matembezini na mumee huku ametinga viwalo...
Lil Jon apata pigo akifiwa na mwanae DJ Young Slade, mtoto wa nyota muziki wa Marekani, Lil Jon amefariki dunia, baba yake alithibitisha taarifa hiyo kupitia taarifa rasmi siku ya Ijumaa.
Rashford, Barcelona sasa mambo freshi! BARCELONA imefikia makubaliano ya kumsainisha mkataba wa moja kwa moja mshambuliaji wa Manchester United na timu ya taifa ya England, Marcus Rashford, 28, anayecheza katika kikosi chao kwa mkopo...
Freshi wanetu... Ndo hivyo haikuwa rahisi USIKU wa jana, zimepigwa mechi tatu za CAF zilizohusisha timu za Tanzania ambapo Yanga ilikabiliana na AS FAR Rabat, huku Simba ikicheza dhidi ya Petro Atletico, hizi zilikuwa katika Ligi ya...
Kocha Spurs haijawahi kutokea KOCHA wa Tottenham, Thomas Frank ndiye kocha mwenye rekodi mbaya zaidi katika historia ya Ligi Kuu England kwa zile timu sita kubwa.
Maxime: Mfumo sasa umekubali, yeyote aje tu! BAADA ya msoto wa muda mrefu bila ushindi, hatimaye juzi Mbeya City ilikata mzizi wa fitina kwa kuikanda TRA United kwa mabao 2-0, huku kocha mkuu wa timu hiyo, Mecky Maxime akitamba kuwa mfumo...
Aliyegoma kunyoa nywele hadi United ishinde tano SHABIKi wa Manchester United , Frank Ilett, ambaye amegoma kunyoa hadi timu hiyo ishinde mechi tano mfululizo amefunguka na kusema sasa anaona kabisa jambo lake linakwenda kutimia.
Barcelona yajiondoa katika michuano hii BARCELONA imetangaza kujiondoa rasmi kwenye mradi wa Ligi Kuu ya Ulaya (Super League), hatua inayoiwacha Real Madrid kuwa klabu pekee iliyosalia katika mpango huo.
Arsenal 'yamoto' EPL, Arteta asisitiza kupambana ARSENAL imeweka rekodi ya kukaa kileleni mwa msimamo wa Ligi Kuu England kwa tofauti ya pointi tisa kwa mara ya kwanza tangu ilipotwaa ubingwa wake wa mwisho mwaka 2004, lakini kocha wake Mikel...
Cardi B: Wanaume wanajigonga kila mara MWANADADA Cardi B amedai wanaume wamekuwa wakijigonga kwake kutokana na kujaaliwa umbo tamu la kupendeza.