Kawhi ndani ya 10 bora wanaowania MVP NBA ACHANA na bonge la mechi linalochezwa leo, Jumapili, la mastaa wa Ligi ya Kikapu Marekani (NBA) maarufu All-Star Game 2026, nyuma ya mtangange huo kuna lile vaibu ambalo bado linaendelea kusaka...
FOBA: Salim, Mshery mbona suala la muda! ISSA Fofana, Aishi Manula na Zubeir Foba wanagawana dakika tu ndani ya Azam FC, wote wakiwa na lengo moja; kuhakikisha timu hiyo inafikia malengo iliyojiwekea.
AJE ASIJE! Uchambuzi wa kocha mmoja mmoja wanaosakwa Man United SAFARI ya Thomas Tuchel kwenda Manchester United sasa imefikia mwisho.
Bilionea Marinakis yupo sokoni kusaka kocha mpya Forest SI jambo la kushangaza kwa wengi kwamba Nottingham Forest wanatafuta kocha mwingine.
HAKUNA NAMNA! Rashford mmoja anavyoweka ubaoni mastaa sita Barca RAIS wa Barcelona, Joan Laporta na mkurugenzi wa michezo Deco, wanadaiwa kuwa na imani ya kwamba wanafanya uamuzi sahihi kwa kumsajili Marcus Rashford kwa mkataba wa kudumu mwishoni mwa mkopo...
Robert Lewandowski asubiri uchaguzi kuamua hatma yake MSHAMBULIAJI wa kimataifa wa Poland, Robert Lewandowski, 37, ameamua kusubiri matokeo ya uchaguzi wa urais wa Barcelona unaotarajiwa kufanyika mwezi ujao kabla ya kufanya uamuzi kuhusu...
Raheem Sterling apata timu Uholanzi STAA, Raheem Sterling amekubali kujiunga na klabu ya Feyenoord ya Uholanzi hadi mwisho wa msimu.
Mo Salah anapiga tu pesa bila jasho SUPASTAA, Mohamed Salah amefunga bao kubwa kwa kuingiza Pauni 45 milioni kutokana na mikataba ya udhamini na haki za matumizi ya picha zake.
Motsepe afichua siri fainali Simba, Berkane Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Afrika (CAF), Patrice Motsepe amefichua kuwa alitamani mechi ya marudiano ya fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika kati ya Simba na RS Berkane, Mei 25, 2025...
Arsenal kubadili jezi kwachukiza mashabiki ARSENAL ililazimika kufanya mabadiliko makubwa ya jezi ilipocheza ugenini dhidi ya Brentford jambo lililowakasirisha baadhi ya mashabiki.